Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
NakaziaNi kweli Denis Berkamp alikuwa fundi sana kwa kweli
Jamaa alikua nomaNi kweli Denis Berkamp alikuwa fundi sana kwa kweli
Muholanzi mmoja na nusu, sijui ndege zilimfanya nini masikini ya Mungu mpaka akawa hazitaki kuzisikia.Kwa tulioanza kufatilia mpira mwishoni mwa miaka ya 90 nafikiri tunamkumbuka huyu fundi wa kidachi. Kwa kifupi huyu mwamba ndie mentor wa Thiery Henry.
Wakati Max Nzengeli anageuka na mpira kabla ya kutoa assist kwa zizu ghafla nikamkumbuka Bergkamp lile goli lake alivyomzunguka Dabizas wa newcastle kabla ya kumtungua Shay Given.
Kwa madogo ambao hamjawahi kumuona Bergkamp akicheza hamna haja ya kuingia youtube badala yake mwangalieni Max Nzengeli.
Pacome ana touch kama za ZidaneBergkamp anafanana na pacome bhn,mafundi wa vipimo vya pasi
Pacome ana touch kama za zidane
Mechi zayanga ziongezwe gharama
ilizingua wakati wanaenda Kucheza kufuzu wolrd cupMuholanzi mmoja na nusu, sijui ndege zilimfanya nini masikini ya Mungu mpaka akawa hazitaki kuzisikia.
Ni hiyo tu ndio iliyomfanya Nzengeli awe Bergkamp? Anyway, umenikumbusha Ian Wright alivyoacha ufalme kwa HenryWakati Max Nzengeli anageuka na mpira kabla ya kutoa assist kwa zizu ghafla nikamkumbuka Bergkamp lile goli lake alivyomzunguka Dabizas wa newcastle kabla ya kumtungua Shay Given. Kwa madogo ambao hamjawahi kumuona Bergkamp akicheza hamna haja ya kuingia youtube badala yake mwangalieni Max Nzengeli.
Kama inakuuma chomoaUshuzi na marashi
Mkuu kwani zidane na pacome wana tofauti ganiUtopolo mna shida nyie....!
Hao 'Wamakonde' hakuna hata mmoja anayefanana na aidha Bergkamp wala Zidane... !
Yaani kumfunga Djibouti na zalani ishakuwa shida..
Hahahahha kwa hili hapana,Ni kweli Denis Berkamp alikuwa fundi sana kwa kweli
[emoji1787][emoji1787] wanakwambia wanaingia group stage.Utopolo mna shida nyie....!
Hao 'Wamakonde' hakuna hata mmoja anayefanana na aidha Bergkamp wala Zidane... !
Yaani kumfunga Djibouti na zalani ishakuwa shida..
Umeniwahi kupost nilikuwa na mawazo Kama yako kuhusu fundi MaxKwa tulioanza kufatilia mpira mwishoni mwa miaka ya 90 nafikiri tunamkumbuka huyu fundi wa kidachi. Kwa kifupi huyu mwamba ndie mentor wa Thiery Henry.