Ambao madeni yetu hayajabadilika hata baada ya kufutiwa VRF tujuane

Leverage

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2021
Posts
2,125
Reaction score
3,150
Ahsante mama Samia kwa moyo wako wa ukarimu wa kufuta riba. Hata hivyo wakati wengine wanafurahia madeni yao kupungua kwa hadi milioni 4. Sisi wengine hakuna kilichopungua deni la salary slip ni sawa na deli lililopo bodi au wengine deni lililopo bodi ni kubwa kuliko la kwenye
Ukiuliza wanakwambia VRF before 1st May.
Kazi iendelee.
 
Nendeni bodi ya mkopo mpate statement. Mtu umekatwa pesa kipind chote hicho tenga nauli ufike bodi Ili waprint statement Kisha mpelekee mwajiri arekebishe.Acha kulalamika chukua hatua.
 
Ahsante mama Samia kwa moyo wako wa ukarimu wa kufuta riba. Hata hivyo wakati wengine wanafurahia madeni yao kupungua kwa hadi milioni 4. Sisi wengine hakuna kilichopungua deni la salary slip ni sawa na deli lililopo bodi au wengine deni lililopo bodi ni kubwa kuliko la kwenye
Ukiuliza wanakwambia VRF before 1st May.
Kazi iendelee.
Tupo wengi, kwenye mfumo inasoma bado 3000000/= kwenye salary slip inasoma 5000000/= sasa sielewi kipi kiko sahihi Nchi hii inatusumbua nadhani imefulia.
 
Deni sahihi ni lile la kwenye mfumo wao......ukiomba statement then ukapewa unachokiona ndo deni lako halisi.
 
Kuna jamaa yangu kaomba statement baada ya kuambiwa kwenye mfumo haijawa updated kweli imekuwa kubwa kuliko ya kwenye mfumo yeye anasema wameruka baadhi ya miezi amekatwa sasa haieleweki kama mfumo au wamefanya kusudi? Angalia hapo.
 
Naomba msaada.
Kwenye mfumo baada ya kuondoa VRF deni liliisha ila bodi wanazidi kukopa toka kwangu, miezi miwili sasa hawajafanya verification ya deni na makato kwa mwajiri yanaendelea, hivyo kiasi nachodai kinaongezeka.

Nifanye nini kupata verification na liquidation letter?
 
Wengine deni limeisha ila bodi wanazidi kukopa toka kwetu, miezi miwili sasa hawajafanya verification ya deni na makato kwa mwajiri yanaendelea.
Hilo sasa ni tatizo la mwajiri wako, mimi nilifuatilia mwenyewe statement tarehe moja mwezi wa saba kisha nikampelekea mwajiri kumuonyesha kwamba nimemaliza kulipa kisha kuanzia mwezi wa saba mwisho akaacha kunikata.

Usitegemee tu mwajiri akuletee taarifa za mkopo wako, wakati mwingine fuatilia wewe mwenyewe bodi ya mikopo kujua mambo yanaendaje mana waajiri wengine ni wazembe na wanaona raha tu kumkata mwajiriwa.
 
Nashukuru kwa ushauri wenye tija. Ngoja nifanye ufuatiliaji kisha nianze kuwadai wao ikiwezekana nami niwawekee VRF[emoji23]
Hilo sasa ni tatizo la mwajiri wako, mimi nilifuatilia mwenyewe statement tarehe moja mwezi wa saba kisha nikampelekea mwajiri kumuonyesha kwamba nimemaliza kulipa kisha kuanzia mwezi wa saba mwisho akaacha kunikata.

Usitegemee tu mwajiri akuletee taarifa za mkopo wako, wakati mwingine fuatilia wewe mwenyewe bodi ya mikopo kujua mambo yanaendaje mana waajiri wengine ni wazembe na wanaona raha tu kumkata mwajiriwa.
 
Kuna jamaa yangu kaomba statement baada ya kuambiwa kwenye mfumo haijawa updated kweli imekuwa kubwa kuliko ya kwenye mfumo yeye anasema wameruka baadhi ya miezi amekatwa sasa haieleweki kama mfumo au wamefanya kusudi? Angalia hapo.
Nilituma evidence mtu kwenye salary slip inasoma 800000 kwenye statement kutoka HESLB inasoma kama 2000000, nadhani itakuwa siyo ethical kuiweka hapa maana imenyakuliwa?
 
Ahsante mama Samia kwa moyo wako wa ukarimu wa kufuta riba. Hata hivyo wakati wengine wanafurahia madeni yao kupungua kwa hadi milioni 4. Sisi wengine hakuna kilichopungua deni la salary slip ni sawa na deli lililopo bodi au wengine deni lililopo bodi ni kubwa kuliko la kwenye
Ukiuliza wanakwambia VRF before 1st May.
Kazi iendelee.
Umepata stattement ya deni lako toka HESLB?
 
Hilo sasa ni tatizo la mwajiri wako, mimi nilifuatilia mwenyewe statement tarehe moja mwezi wa saba kisha nikampelekea mwajiri kumuonyesha kwamba nimemaliza kulipa kisha kuanzia mwezi wa saba mwisho akaacha kunikata.

Usitegemee tu mwajiri akuletee taarifa za mkopo wako, wakati mwingine fuatilia wewe mwenyewe bodi ya mikopo kujua mambo yanaendaje mana waajiri wengine ni wazembe na wanaona raha tu kumkata mwajiriwa.
S statement pekee, bal;i na LIQUIDATION LETTER ndo inamfanya muajili aache kukukata kama umemaliza
 
Back
Top Bottom