Ahsante mama Samia kwa moyo wako wa ukarimu wa kufuta riba. Hata hivyo wakati wengine wanafurahia madeni yao kupungua kwa hadi milioni 4. Sisi wengine hakuna kilichopungua deni la salary slip ni sawa na deli lililopo bodi au wengine deni lililopo bodi ni kubwa kuliko la kwenye
Ukiuliza wanakwambia VRF before 1st May.
Kazi iendelee.
Lakin kwanin bodi ya mikopo wanajikanganya?vrf iliwagusa wote hata ambao walimaliza chuo kabla ya 2016 sasa iweje baada ya Mh Raisi kuagiza ifutwe watu wa loan board wamebuni sheria zao kwamba vrf before 1 May 2021 sasa kwa nin wasiifute kama walivyoweka vrf hata ambao ilikuwa haiwahusu ?ukiulza wanasema kwamba vrf imefutwa kwa wanufaika watakaomalza mwaka huu na kuendelea!!