Na wewe imekukuta?Tumepigwa pakubwa.[emoji276]
Na wewe imekukuta?
Nendeni bodi ya mkopo mpate statement. Mtu umekatwa pesa kipind chote hicho tenga nauli ufike bodi Ili waprint statement Kisha mpelekee mwajiri arekebishe.Acha kulalamika chukua hatua.Ahsante mama Samia kwa moyo wako wa ukarimu wa kufuta riba. Hata hivyo wakati wengine wanafurahia madeni yao kupungua kwa hadi milioni 4. Sisi wengine hakuna kilichopungua deni la salary slip ni sawa na deli lililopo bodi au wengine deni lililopo bodi ni kubwa kuliko la kwenye
Ukiuliza wanakwambia VRF before 1st May.
Kazi iendelee.
Ulimaliza Chuo mwaka ganNilianza kukatwa kuanzia 2019 lkn,pamoja na kufutiwa VRF bado sioni mabadiliko yoyote yale!
Tupo wengi, kwenye mfumo inasoma bado 3000000/= kwenye salary slip inasoma 5000000/= sasa sielewi kipi kiko sahihi Nchi hii inatusumbua nadhani imefulia.Ahsante mama Samia kwa moyo wako wa ukarimu wa kufuta riba. Hata hivyo wakati wengine wanafurahia madeni yao kupungua kwa hadi milioni 4. Sisi wengine hakuna kilichopungua deni la salary slip ni sawa na deli lililopo bodi au wengine deni lililopo bodi ni kubwa kuliko la kwenye
Ukiuliza wanakwambia VRF before 1st May.
Kazi iendelee.
Deni sahihi ni lile la kwenye mfumo wao......ukiomba statement then ukapewa unachokiona ndo deni lako halisi.Tupo wengi, kwenye mfumo inasoma bado 3000000/= kwenye salary slip inasoma 5000000/= sasa sielewi kipi kiko sahihi Nchi hii inatusumbua nadhani imefulia.
Kuna jamaa yangu kaomba statement baada ya kuambiwa kwenye mfumo haijawa updated kweli imekuwa kubwa kuliko ya kwenye mfumo yeye anasema wameruka baadhi ya miezi amekatwa sasa haieleweki kama mfumo au wamefanya kusudi? Angalia hapo.Deni sahihi ni lile la kwenye mfumo wao......ukiomba statement then ukapewa unachokiona ndo deni lako halisi.
Hilo sasa ni tatizo la mwajiri wako, mimi nilifuatilia mwenyewe statement tarehe moja mwezi wa saba kisha nikampelekea mwajiri kumuonyesha kwamba nimemaliza kulipa kisha kuanzia mwezi wa saba mwisho akaacha kunikata.Wengine deni limeisha ila bodi wanazidi kukopa toka kwetu, miezi miwili sasa hawajafanya verification ya deni na makato kwa mwajiri yanaendelea.
Ile milion 20 wanayonidai wataendelea kuisikia kwenye bomba, silipi ng'oooooooooooooou
Labda kama hutoajiriwa maisha yako yote lakini ukiajiriwa maumivu utayaona tu.Ile milion 20 wanayonidai wataendelea kuisikia kwenye bomba, silipi ng'oooooooooooooo
Wasiponipa ajira imekula kwaoLabda kama hutoajiriwa maisha yako yote lakini ukiajiriwa maumivu utayaona tu.
Hilo sasa ni tatizo la mwajiri wako, mimi nilifuatilia mwenyewe statement tarehe moja mwezi wa saba kisha nikampelekea mwajiri kumuonyesha kwamba nimemaliza kulipa kisha kuanzia mwezi wa saba mwisho akaacha kunikata.
Usitegemee tu mwajiri akuletee taarifa za mkopo wako, wakati mwingine fuatilia wewe mwenyewe bodi ya mikopo kujua mambo yanaendaje mana waajiri wengine ni wazembe na wanaona raha tu kumkata mwajiriwa.
Nilituma evidence mtu kwenye salary slip inasoma 800000 kwenye statement kutoka HESLB inasoma kama 2000000, nadhani itakuwa siyo ethical kuiweka hapa maana imenyakuliwa?Kuna jamaa yangu kaomba statement baada ya kuambiwa kwenye mfumo haijawa updated kweli imekuwa kubwa kuliko ya kwenye mfumo yeye anasema wameruka baadhi ya miezi amekatwa sasa haieleweki kama mfumo au wamefanya kusudi? Angalia hapo.
Umepata stattement ya deni lako toka HESLB?Ahsante mama Samia kwa moyo wako wa ukarimu wa kufuta riba. Hata hivyo wakati wengine wanafurahia madeni yao kupungua kwa hadi milioni 4. Sisi wengine hakuna kilichopungua deni la salary slip ni sawa na deli lililopo bodi au wengine deni lililopo bodi ni kubwa kuliko la kwenye
Ukiuliza wanakwambia VRF before 1st May.
Kazi iendelee.
S statement pekee, bal;i na LIQUIDATION LETTER ndo inamfanya muajili aache kukukata kama umemalizaHilo sasa ni tatizo la mwajiri wako, mimi nilifuatilia mwenyewe statement tarehe moja mwezi wa saba kisha nikampelekea mwajiri kumuonyesha kwamba nimemaliza kulipa kisha kuanzia mwezi wa saba mwisho akaacha kunikata.
Usitegemee tu mwajiri akuletee taarifa za mkopo wako, wakati mwingine fuatilia wewe mwenyewe bodi ya mikopo kujua mambo yanaendaje mana waajiri wengine ni wazembe na wanaona raha tu kumkata mwajiriwa.
Japo umenipa tabu sana kuhesabu hizo sufuri, weka kitenganishi cha maelfuTupo wengi, kwenye mfumo inasoma bado 3000000/= kwenye salary slip inasoma 5000000/= sasa sielewi kipi kiko sahihi Nchi hii inatusumbua nadhani imefulia.