Hili ni tatizo la kijamii, si la kwako peke yako.
Iko hivii? :
Wanaume wote kwa ujumla wao kabisa huona kuwa kitu used ni nguo, gari ama vifaa vingine vya mtumba lakini siyo "k", "k" siku zote eti ni mpya na inagombaniwa!
Watu masaa24 wanachururuzukwa na udenda wa tamaa ya kupata "k" mpya ambayo tayari ni used!
Kupata na kutumia "k" mpya used kwa wanaume huita falagha, ni maradhi ya kisaikolojia!
Na falagha haitangazwi hadharani ni siri mojawapo ya vyumbani isiyostahili masimulizi!
Ujue kwa nini?
Kuna binadamu ki silka hawapendi upumbafu wanaoufanya wao kwa siri, ujadiliwe ama kusemwa kwa vyovyote vile!
Na wakisimama hadharani hukaripia sana matendo yao hayo wakisema kuwa huo ni uovu ama ni dhambi isiyotubika kuifanya!
Hili jambo mkuu halina haja ya kulifungulia uzi kumotivate watu wataje madhambi yao hayo kwa njia ya mjadala, wengine wana wivu watakupotosha kwa kukuongopea.
Lengo likiwa ni kutokubali kuzidiwa idadi ya wanawake aliotembea nao, ama aliokwishatembea nao basi usimzidi kwa idadi ya magoli uliyoyafunga kwenye mchezo huo wa kirafiki usiokuwaga na refa wala mhesabu magoli.