Ambao tunakesha leo - karibu hapa tuzogoe ☺️

Binti wa zamani

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
15,052
Reaction score
36,866
Usingizi umekata, muda wa kulala bado, unaenjoy maisha, mawazo, furaha au ni sababu gani inafanya uwe hujalala mpaka sasa hivi?

Tupige story kidogo:
  1. Rangi gani ya ngozi inakuvutia kwa mpenzi? (mweupe, mweusi, maji ya kunde au wewe una vigezo vingine ambavyo siyo rangi ya mwili?)
  2. Ushawahi kulia baada ya kupewa penzi au kumliza mtoto wa mtu?
  3. Ni kitu gani hujawahi kukifanya ila unatamani kujaribu?
 
Briefly
1: Rangi nyeusi, any time any day.
3: Threesome. Hii ni dhambi ninayo itamani.
Aibu utaona wewe😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…