Ambao tunaweza kuunga bao tatu tukutane tupeane mbinu za kufikisha nne

Yote hio huna hela unapambana asikuache. Piga kimoko kwa dk2 sepa
 
Aina hii ya vijana wana mchango mdogo sana kwa Taifa - John Pombe Magufuli, Rais wa awamu ya tano Tanzania
 
Kimoja kwa dakika 5 kinatosha. Muda mchache, kimbizana na mambo ya msingi
 
uko sahihi,
kwa maana ya kumdhibiti mwanamke kuhusu kunyanduana,

but kitaalamu,
hiyo ni njia sahihi sana na ya uhakika kwa mwanaume kupunguza lifespan yake kirahisi sana na kuathiri afya yake ya uzazi kwa haraka zaidi πŸ’
 
Kama hajakuelewa na hapa muache na ujinga wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…