Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,097
heheheh Dah! tena kama kuna mdada anajua sheria ya log base 10 aniPM haraka kuna kaswala ka past paper nimekwama aisee.
haya, nawakumbusha kuwa makini na sheria za angani.
Yaani mimi nafeli wewe unacheka? Mungu atanilipia banahahahahahahaha! Nimecheka hadi nimewaamsha majirani.
Hii sheria yake uvute ukiwa umelikalia kaburi la babu yako wa 36 kutoka huyo aliepo sasa!Unaweza?
Haka kacheko kako ni ka mtu ambae amesha anguka... tell me everything.hahahaha! Mwaliiiii...!
Yep! nyepes nyepes zinasema anatafuna limao na udongo kuliko pizza
ok andaa huo ushahidi me nitaandaa statment of defence
mmmh! Binamu nyama ya hamu, kuila si haramu.
Sheria ya Anga tunazijua flu!
Ila tutapitia Lebanon kuna mshikaji tunamsalimu chap!
Mkuu utafiti unaonesha wanawake kwenye mambo ya log wanaelewa zaidi kuliko wanaume, scientifically provedmweh! Mdada? Una lako jambo we wakusoma.
hiyo noumar labda blongs
mutatis mutandis,magnam opass
Haka kacheko kako ni ka mtu ambae amesha anguka... tell me everything.
Deskmate! mbona husn ni shemeji yangu bana.Haka kacheko kako ni ka mtu ambae amesha anguka... tell me everything.
sisi hatujui hayo. Hatujalelewa hivyo.
Yaani mimi nafeli wewe unacheka? Mungu atanilipia bana
Mkuu utafiti unaonesha wanawake kwenye mambo ya log wanaelewa zaidi kuliko wanaume, scientifically proved
Lizzy si amefungua genge la supu ya kenge sinza? au unamuongelea lizzy gani?Lizzy kaenda kumtembelea huko,akija natumai atakuja na mpya!
Kwa kaka yako yupi?Deskmate! mbona husn ni shemeji yangu bana.