Ambaye hajalala tupige stori.

Ambaye hajalala tupige stori.

Hawezi kunikana, mwenyewe anajua...
Mwambie nitamwandikia kesho mida ya supu,
kwa sasa aenjoy outing yake na wewe.

Amekwambia usichelewe na usije pitiwa!
Kwani c unajua mambo haya ni lazima utinge huko kwenye masupu?
 
Baridi inazidi,mvua nayo haiko nyuma,wacha nivute usingizi!
 
ooh! Bodigadi ndio shemeji eeh! Naomba nimtanie vya mwisho mwisho.
Walaaaaa.
Mi ni Bodiguard na Deskamte, full stop.Mengine nikuulize wewe
mara he is a lucky man, mara sijui nini, mi nawaangalia tu...
 
Amekwambia usichelewe na usije pitiwa!
Kwani c unajua mambo haya ni lazima utinge huko kwenye masupu?
Tuna njia zetu za kuwasiliana, mi siwezi kumsapraiz saa hizi,
Kama yuko na wewe aendelee kula happy. Kama kalala siwezi mwamsha
Nitaongea nae kesho, I don't PM (except for 'exceptional cases')
 
Back
Top Bottom