Mamaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 5,067
- 4,434
Mi nina cha mboka manyema!
hiyo cjawahi isikia mkuu,inapatikana wapi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nina cha mboka manyema!
Hawezi kunikana, mwenyewe anajua...
Mwambie nitamwandikia kesho mida ya supu,
kwa sasa aenjoy outing yake na wewe.
wakumbushe kwa maandishi
fix man. Browser 1 Fb, Browser 2 Jf. Ngastuka.
kwani na wewe umejikataza?
heheheh Dah! tena kama kuna mdada anajua sheria ya log base 10 aniPM haraka kuna kaswala ka past paper nimekwama aisee.
Walaaaaa.ooh! Bodigadi ndio shemeji eeh! Naomba nimtanie vya mwisho mwisho.
Baridi inazidi,mvua nayo haiko nyuma,wacha nivute usingizi!
Khaaa! shemejinishakatazwa kucheka na wewe. Tokaaaa!
nakusanya ushahidi.
wafungue handout.
Walaaaaa.
Mi ni Bodiguard na Deskamte, full stop.Mengine nikuulize wewe
mara he is a lucky man, mara sijui nini, mi nawaangalia tu...
Yep! nyepes nyepes zinasema anatafuna limao na udongo kuliko pizzaDuh!Atakua anakaribia kwenda leba!
hiyo cjawahi isikia mkuu,inapatikana wapi ?
mwali ni cousin wangu, tunaelimishana mazuri na kukatazana mabaya.
heheheh Dah! tena kama kuna mdada anajua sheria ya log base 10 aniPM haraka kuna kaswala ka past paper nimekwama aisee.
Tuna njia zetu za kuwasiliana, mi siwezi kumsapraiz saa hizi,Amekwambia usichelewe na usije pitiwa!
Kwani c unajua mambo haya ni lazima utinge huko kwenye masupu?
Khaaa! shemeji