Mwali mpwa wangu, sio kawaida yako kuandika maelezo marefu hivi kwa sababu ya mtu mmoja kuchakachuliwa kura...mbona hujasema mimi ankal wako, nimenyimwa haki ya ugombea binafsi, na jumatatu naenda mahakamani kupinga?
sasa basi kabla sijalala, pamoja na kila kitu, hebu nipe maelezo kuna nini so special
ankal wako leo ako na tafakuri sana....
Shkamoo tena Ankal wangu mpendwa.
Ulivo nilea pamoja na shangazi, unajua mimi sio mtu wa kusema sana
Na nikisema mara nyingi ni sababu nimechokozwa
You know me, I hate losing. I was born to win CONSTANTLY (as I do)
Nilijitolea kumpigia kura na kumpromote member mwenzangu aitwae EMT
Nilikua tayari kwa kila kitu, kumuona akifaulu au akishindwa
But iwe haki, iwe sauti ya wapiga kura
Sasa nimeona uchakachuaji wa hali ya juu
Rules za kupiga kura zinaandikwa wakati watu wameshaanza kupiga kura
na zina wapromote watu fulani, zinawaponda watu fulani
Hiyo ya kusema mtu hatakiwi kujinominate wameleta baada ya kuona candidacy yako itafunika wengine
Hiyo ya kusema mtu hatakiwi kunukuu wameileta baada ya kuona candidate wetu analead
Pia hiyo ya kuhamisha mtu from one category to another wameileta baada ya watu kupiga kura
Mpwa wako nimeboreka kweli Ankal, ila nikaona nipotezee tu...
Sipendi ligi, sikulelewa hivo. I hate losing, but I hate ligi even more.
Mimi namjua Man/woman of the year, namjua King/queen of MMU and I keep in me