Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naobserve GENERAL behaviors of a gentleman, katika maisha ya kila sikuunataka uobserve how a real gentleman behaves to his woman au to his daughters? Kama to his woman, you have to be close to both aunt and uncle.
Nakaa tu hapa with people who share this feeling na tunapiga stories... 🙂now....how do we do it....yeah?
Uncle unaona The Boss alivo mchokozi?hapa utampa tabu ya kukutaja tu:A S-coffee:
Naobserve GENERAL behaviors of a gentleman, katika maisha ya kila siku
Then nawaobserve how they behave toward each other kujua how he behaves as a lover
Nimesha jua how a lady behaves toward her gentleman, shangazi kanipa maujuzi yote!
halafu hapa....ngoja nihamia MMU
Naona mshalala..
hapa kuna nini ankal!
Uncle unaona The Boss alivo mchokozi?
najiona kama mgeni...
Tupo mkuu, we mwaga hekima tu hapaNaona mshalala..
Thank you Uncle. Ingawa na yeye alisema hataki kuparticipate, alimpa kura yake EMT vile vile...Nimemsaidia naona jibu keshalipata.......lol
Haya Wanga wenzangu !
Kumekucha !
Niteshift at work ! Wale tuliokua tunawanga usiku wa jana
- Matumbo
- Mugglin
- Mwali
- Moshe Dayan
- Husninyo
- Kaizer
Haya amkeni kumekucha !
Leteni story !
Tuendeleze kuwanga .
Unatuamsha wakati tumehsa kaa saa 2 hapa?Haya Wanga wenzangu !
Kumekucha !
Niteshift at work ! Wale tuliokua tunawanga usiku wa jana
- Matumbo
- Mugglin
- Mwali
- Moshe Dayan
- Husninyo
- Kaizer
Haya amkeni kumekucha !
Leteni story !
Tuendeleze kuwanga .
Unataka kutuaga Uncle?OMG ndo nimeangalia muda kumbe muda mbaya sana huu....dah
Unataka kuNIaga Uncle?