Ambaye hajalala tupige stori.

Ambaye hajalala tupige stori.

Haya Wanga wenzangu !
Kumekucha !
Niteshift at work ! Wale tuliokua tunawanga usiku wa jana
- Matumbo
- Mugglin
- Mwali
- Moshe Dayan
- Husninyo
- Kaizer
Haya amkeni kumekucha !
Leteni story !
Tuendeleze kuwanga .

andaa ungo, leo nataka niwapeleke nigeria.
 
kiingilio shing ngapi apa?
Karibu Deskmate, hakuna cha kiingilio, contribution ni story tu.
Najua kwa ujuzi wako wa mastory ya kiukweli, by the time the sun rises
wote tutakua na deni lako. lol
 
Duh!
Sijaonekana kwenye list na namshukuru MUNGU haya elekeeni Nigeria!
Mkirudi mtatujuza ambao hawajafaa kwenda huko kilichojiri!
Ameeeeen!!

hajakutaja kwa sababu anajua kuwa tangu uende jana bado haujarudi.
 
Back
Top Bottom