Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nite shift at work! T a n u e n i
kwa raha zenu !
ha ha ha ha!
usiogope kashatulizwa home,watu wanakula life..karibu!
Sema Ma2mbo!
Uncle na Anti hawapo, wameenda marudio ya HoneymoonUmeaga nyumbani lakini? Hebu kalale huko!
Uncle na Anti hawapo, wameenda marudio ya Honeymoon
Husninyo nae sijui kapotelea wapi, so niko home alone leo!
Mi nipo tu. Habari ya mama?shwari mtu wangu!inakuwaje?
Ukinisemelezea nisemelezee kwa Anti ndie kidogo anakua mkaliMwali hatoroki mkoleni! Ntakusemelezea!
kila kitu kipo tayari..karibu tumkome nyani giladi!
Ooooh, mpongeze sana. Kumbe ndio maana ya zile hasira? lolmama yupo,anajiandaa kulea.