Amber Lulu aponda muonekano wa Ommy Dimpoz

Amber Lulu aponda muonekano wa Ommy Dimpoz

Huyu jamaa pesa anapata wapi za kwenda ulaya kula bata sioni show anazofanya
Sio rahisi kujua kila mipango ya binadamu hasa kama sio mtu wako wa karibu. Ila kuhusu kufanya shoo sina uhakika lakini inavyoonesha wewe sio shabiki wake, hivyo hujui nini anafanya like instagram page yake na twitter na FB utapata updates za shoo zote anazofanya.
 
Back
Top Bottom