Wasukuma tangu lini mkawaa wajanja?
USHAMBA WA MSUKUMA UKO WAPI?
Ninavyomfahamu
1.Hapendi makuu,ukimchokoza anasema KAYA YA NG'WOBA NAYO KAYA ili siku ipite salama.
2.Hapendi kesi,ukimdhurumu anasema
MAGUZU MASESE ili asipoteze muda
kufuatilia mambo ya kesi,badala yake afanye kazi.
3.Hapendi kuumiza moyo kwa hasara iliyotokea, akipata hasara anajipa moyo kwa kusema
JATULWA MBITI JITATANANHAGA ili aepuke matatizo ya madonda ya tumbo, moyo presha n.k.
4.Hapendi kujikweza,ukimsimanga ugenini
anasema NG'OMBE NG'ENI IKAPAMAGWA NA DIDA,wengine husema don't disarenge the funiture while you are still a guest, na huo ndo ustaarabu.
5.Ni mvumilivu hata kwenye suala la utafutaji, akianza na mtaji mdogo hujipa moyo kwa kusema BUSHI BO MBULI BUKAKWILILAGA MU BUTUNGO, wengine husema haba na haba hujaza kibaba.
6.Hatoi siri ovyo ovyo,ukimdadisi anakwambia
KAMANWA MAMBI KALI MU NG'OMA ili
kuepusha uchonganishi.
7.Kipindi cha njaa huwafariji wana familia kwa kuwaambia SHILIWA SHIDOHE BALI
BAKWILE ili kuwaondoa hofu akijua baada ya dhiki kuna faraja.
8.Hana roho mbaya,penye watu wengi na nafasi ndogo husema BITOGILWE BATISHITAGA, ili kujenga upendo na kutobaguana.
9.Hana hasira za kukurupuka, ukimchukiza
anasema AKULIPA WELELO huku akitafakari cha kufanya.
10.Anajua mambo yote hapa duniani ni ubatili na yote yatapita, akikabiliwa na jambo gumu asiloliweza anasema NDUHU TAABU,
Sasa tukubaliane washamba ni wazalamo na wagogo.ππππ
Copy and paste