Tetesi: Amber Lulu yamkuta, atiwa mbaroni Arusha kwa tuhuma za madawa ya kulevya

Aiseee watafaidi hao maafisa huko gerezani.....kama nakiona vile kitoga cha bure wanavyopokezana kukigegeda maafande. Manake wangekutana uswazi angejitia ni wa first class.......afterall, There's no short way can take u so far....
 
Tena kwa usawa huu wa baba yetu kama ni kweli ajiandae tu kisaikolojia.
Wadada wa bongo maisha ya kisuperstar yanawaponza sana
 
Na watakuwa designer wazuri tu washone na nguo
 
Na wakijua kuzipata hizo pesa kwa jasho hawatabakisha hizo chips huko mahotelini.Watakula watakapokuwa na njaa tuuu
 
Hao ni Wa kupoteza tu... Rais wetu akisema kuna watu wakulazwa chini mnaanza kuleta maneno neno...

Hao ni Wa kupoteza huko amazon forest
 
Huyu HuWA hajielewi kabisa nafikiri alizaliwa wakati wa sherehe za manyago
 
Mwenzenu kaishatoka anakula maisha mtaani. Chezea wakubwa!!!
 
Magereza wana vyote hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…