Tetesi: Amber Lulu yamkuta, atiwa mbaroni Arusha kwa tuhuma za madawa ya kulevya

Tetesi: Amber Lulu yamkuta, atiwa mbaroni Arusha kwa tuhuma za madawa ya kulevya

Yani kumuiga style ya nywele ndo imekuwa wanafanana!!!?.....Msimkosee heshima Amber Rose....Msimkosee heshima Kanye West
 
Yani kumuiga style ya nywele ndo imekuwa wanafanana!!!?.....Msimkosee heshima Amber Rose....Msimkosee heshima Kanye West
umeonaaah eeeh, hilo li Amber Lulu lina mchogo kichizi alafu bayaaaaa eti ndo wanamfananisha na Amber Rose ha ha ha hawako serious hawa
 
Inasemakana eti yule video queen mwenye mfanano na amber rose tuko chini ya ulinzi huko Arusha baada ya kujaribu kupitisha sembe kwenda nchi ya jirani Kenya kwenda China Kule kwa jack wa jux
Mwenye habari kamili au fununu tuambizane jamani
Yaaa rafiki yake Gigy alihojiwa akakiri alishamuonya, inasemekana lkn
 
Nimekutana nae leo green mountain hotel kijenge poolside

Kwa hiyo alibeba unga wa mahindi sio ule unaopandaga ndege kama katoka mana kipindi hiki cha magufuli ukidakwa kila mmoja anataka kuchukulia point kwako
 
Kwa hiyo alibeba unga wa mahindi sio ule unaopandaga ndege kama katoka mana kipindi hiki cha magufuli ukidakwa kila mmoja anataka kuchukulia point kwako
Mimi nimemkuta hapo anauza sura kuhusu unga labda alibeba wa ubuyu
 
Back
Top Bottom