Amber Rose adondokea kwa mcheza kikapu

Amber Rose adondokea kwa mcheza kikapu

huyo jamaa pembeni kavaa kimini... haya wabongo igeni na nyie
 
Mdada mzuri ila hizo tattoo jamani. Na alivyo uradhani hajazaa....
 
dah nimefungua haraka nkajua kadondoka kwa hasheem thabit, ila kwa wenzetu ishu ya umri hua haimati hata siku moja, lakn bongo wolper amekadaka kahamornise bs watu mmenyeeea, dah

hasheem yuko wapi skuizi
 
huyo jamaa pembeni kavaa kimini... haya wabongo igeni na nyie
Umekurupuka mrembo angalia kwa makini! Huo ni mkono wa njemba kwa mbele kuna mtu mwingine kasimama! Jana hata mim nilidhani ni paja
 
Akili yangu inaweka picha kwanini huyu mjomba yuko na huyu mama. Yaani ni balaa kwa kwenda mbele...
 
Mtandao wa tigo unakamata sana kwa huyu Amber...!! Network iko full..!!✔
 
Hawa watu wana shida, huyo mchezaji mpe mwaka baada ya retirement/mchezo kushuka kiwango, utamkuta anafanya kazi ya $8/hr. Pesa yote itakuwa imemwishia!.
 
Back
Top Bottom