ni hatari kwakweli, ingawa katika hii ishu Amber kachokozwa, kulikua na kutoelewana lugha kati ya wizzy na kanye. wizzy ali mention neno KK katika tweets, kanye akarukwa akili acha aanze kupaka na kumuingiza Amber, later Wizzy aka clarify kwamba KK ni weed, wakaombana msamaha yakaisha...mdada Amber ndio akaanza kujibu mapigo mpaka kufikia hapoMjinga tu huyo mwanamke .
Anatafuta publicity kwa nguvu zote.
Si huyo huyo mwanamke mwakajana alisimama
Akasema nimemsamehe Kanye & wiz khalifa.
Mwanamke anaetangaza mambo ya chumbani aliyoyafanya na mwanaumee au mwanamke hana heshima.
Mambo ya chumbani ni ya chumbani .
End of story.
Kwani wewe hiyo prostate massage ushai experience????ni hatari kwakweli, ingawa katika hii ishu Amber kachokozwa, kulikua na kutoelewana lugha kati ya wizzy na kanye. wizzy ali mention neno KK katika tweets, kanye akarukwa akili acha aanze kupaka na kumuingiza Amber, later Wizzy aka clarify kwamba KK ni weed, wakaombana msamaha yakaisha...mdada Amber ndio akaanza kujibu mapigo mpaka kufikia hapo
ni hatari kwakweli, ingawa katika hii ishu Amber kachokozwa, kulikua na kutoelewana lugha kati ya wizzy na kanye. wizzy ali mention neno KK katika tweets, kanye akarukwa akili acha aanze kupaka na kumuingiza Amber, later Wizzy aka clarify kwamba KK ni weed, wakaombana msamaha yakaisha...mdada Amber ndio akaanza kujibu mapigo mpaka kufikia hapo
Baba yake ni Mmarekani Ila Mama yake ni 4rm Cape Verde.@mzyo16
Amber ana asili ya cape Verde
Ila ya leo kaenda mbali, ni kwamba ana insinuate kwamba Yeezy sio riziki....imagine maneno ya kwenye hiyo t-shirt! ila kuna mdau kasema ni kick...maana kim akiingilia tu paparazzi mauzo ya habari yataongezeka.Mwanamke kama amber ni shida hawez ficha siri kwenye mahusiano si mara ya kwanza anasema siri za kanye
Mkuu aisifiaye mvua ujue imeshamnyeaKwani wewe hiyo prostate massage ushai experience????
Hapana,I love her kwakweli...akichokozwa ndio huwa anakua hivyo,hata ningekua mimi ukileta ungese namalizia tu...hebu wamuache amber banaMwanamke kama amber ni shida hawez ficha siri kwenye mahusiano si mara ya kwanza anasema siri za kanye
Mkuu acha kutusi bana, yani wewe jua tu kwamba mtoto wa kiume akiaanza kuguswa huko tena uanaume wake unaanza kuwa questioned, na ndio theme ya hii thread!Mkuu aisifiaye mvua ujue imeshamnyea
Umekosea,huku duniani hii procedure ni lazima the moment ukilazwa hospital nadhani ukiwa over 40-as a result inaokoa maisha ya wengiMkuu acha kutusi bana, yani wewe jua tu kwamba mtoto wa kiume akiaanza kuguswa huko tena uanaume wake unaanza kuwa questioned, na ndio theme ya hii thread!
Mvua na hili janga nivitu viwili tofauti....