Ugiligili
JF-Expert Member
- Jun 20, 2014
- 3,023
- 4,055
Alwayz Kanye ndo huwa anaanza cuz kipindi flani aliwahi kusema et Ilibidi aoge mara therathini baada ya "kulala" na Amber hapo ss amber akajibu ikawa vita..kimsingi kanye ndo mchokozi..Mwanamke kama amber ni shida hawez ficha siri kwenye mahusiano si mara ya kwanza anasema siri za kanye