Amber Rose amuanika Kanye kuhusu kumpapasa tezi dume

Mimi stimulation yangu ni kunyonywa lollipop tu inatosha,...fingerfucking tena?that's one way to the gayism.
 
Tafsiri pliz ili watoto km pwilo waelewe....just a joke!
 
msumari wa mwisho kwa kanye leo-Amber Rose





Hivi huyu dada ni mzungu au mchanganyiko....kuna kijiubantu kidogo!! Davido ali-coment kwa Sporah show kwamba Tanzania is blessed...baada ya kuonyeshwa upande huu kwa masogange.
Ni m carpe verde wana mchanganyiko wa uchotara wa spain.... Yan almost mchi nzima kama machotara
 
Wiz aliongea neno 'kk' kanye akaichukulia vibaya sababu kk ni kifupi cha Kim kardashian ...ndio akaanza kumpa wiz makavu...'am ya OG and u gotta respect me' wanasema kanye amecheza big part katika kumjenga wiz kimuziki..
Tweet nyingine iliyowasha moto no pale kanye aliposema 'wewe mjinga ndio maana umezaa na stripper' hiyo ndiyo iliyomwita mdada gaidi Amber ...akamwambia we kaka ugomvi ni wenu vepe nimekujaje humo au umemisi MADOLE! na imekwenda viral watu walioretweet mpaka sasa 286k sasa mpaka Mimi najua kuwa brother kanye alikuwa anapigwa vidole anajifanya hard core kumbe........
#muheshimu ex wako anajua yako
 
Mhhhhhhh ni shiiidah aisee
 
Prostate massage na u-gay ni kama chanda na pete.
 
Ai lavu yu so machi[emoji12] [emoji12]
 
Kuna kipindi west alidai kwamba amber ni mwanamke ambae hawezi kuishi na mwanume yoyote na ni vigumu sana kuishi na wanawake wenzake
 
Hahah hapo Kanye naye ni chizi tu wewe unajua kabisa akili za Amber zilivyo ,mara sijui kampeni zake za Slut nini sijui ,mara akiwa na choko benjie .......yaani kwa kifupi Amber kile haramu ndio halali kwake ataacha kusema kakutia dole ???
Chizi kachokozwa unategemea nini?
 
msumari wa mwisho kwa kanye leo-Amber Rose





Hivi huyu dada ni mzungu au mchanganyiko....kuna kijiubantu kidogo!! Davido ali-coment kwa Sporah show kwamba Tanzania is blessed...baada ya kuonyeshwa upande huu kwa masogange.
Kwa nini huyu mwanamke anaachwa na wanaume? Si bure kuna jambo.
 
Kwa nini huyu mwanamke anaachwa na wanaume? Si bure kuna jambo.
nadhani ni umashuhuri wake tu, wanaume wanapita pale kutest au kujipima baada ya kutengeneza jina, matokeo inakua sio real love,...au yale mapenzi ya kukutana kwenye madisco wote mmependeza hapo hapo bila kujuana feelings zenu, background, values mnakurupuka nakuwa wapenzi...havidumu.

Inferiority complex inachangia pia kama mwanaume aliyekutana nae sio mashuhuri, of course hawezi ku-handle asikie habari kwamba dem ali-date na Kanye au Wizzy then wameonekana sehemu fulani wanachati wamekumbatiana, kama ujuavyo magazeti ya udaku yanavyokuza mambo bla blah, kesi kama hizi watu huingia mtini...
Wanasema magazeti ya udaku huchangia pia kuachanisha mastaa kama huyo. mauzushi....
Nikama kwetu hapa Tanzania wapo warembo superstars kama Amber na mahusiano yao ni mtindo huo huo kuachana achana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…