Alwayz Kanye ndo huwa anaanza cuz kipindi flani aliwahi kusema et Ilibidi aoge mara therathini baada ya "kulala" na Amber hapo ss amber akajibu ikawa vita..kimsingi kanye ndo mchokozi..Mwanamke kama amber ni shida hawez ficha siri kwenye mahusiano si mara ya kwanza anasema siri za kanye
Kama unashindwa kusema "usenge" badala yake unasema "ungese" utaweza kweli kusema "ulinishika pumbu"!?Hapana,I love her kwakweli...akichokozwa ndio huwa anakua hivyo,hata ningekua mimi ukileta ungese namalizia tu...hebu wamuache amber bana
Sio lazima.. Unless otherwise uwe na dalili za BPH.Umekosea,huku duniani hii procedure ni lazima the moment ukilazwa hospital nadhani ukiwa over 40-as a result inaokoa maisha ya wengi
hahahahhaKuna tetesi za chini kwa chini,zinadai baba yake halisi na amber rose ni mtz wa kabila la kimakonde,alikutana na mama yake ambaer huko USA miaka kadhaa iliyopita alipokuwa masomoni.bado taarifa hizi bado ni tetesi,usiziamni sana.
Ila kuna kpnd fulan 50cent alikuwa na bifu na yeezy jamaa akamdc yeezy n chakula. Ss icje ikawa kweliIla ya leo kaenda mbali, ni kwamba ana insinuate kwamba Yeezy sio riziki....imagine maneno ya kwenye hiyo t-shirt! ila kuna mdau kasema ni kick...maana kim akiingilia tu paparazzi mauzo ya habari yataongezeka.
kuna njia nying za kumjibu mtu bila kusema mambo ya siri mliyokua mnafanyaHapana,I love her kwakweli...akichokozwa ndio huwa anakua hivyo,hata ningekua mimi ukileta ungese namalizia tu...hebu wamuache amber bana