Amber Rutty na Mumewe Wahukumiwa Kwenda Jela Miaka 5 Au Kulipa Faini Kwa Kosa la Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbile

Amber Rutty na Mumewe Wahukumiwa Kwenda Jela Miaka 5 Au Kulipa Faini Kwa Kosa la Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbile

Bado nashakana hakimu maaana kama kapunguza kutoka 30 to 5 it's means naye alionjeshwa na amberruty. Ila hao wameshazoea kupekenyuliwa tope hawatokaa waache labda wafe tu maana huko jera. Manyapala watakuwa wanafukua tope daily
 
Sheria za magereza haimtambui kama shoga inamtambua kama mwanaume, so atawekwa upande wa wanaume.....

Ova
Haimtambui kama shoga kwani kilichomfanya ahukumiwe si ni ushoga? Vipi haimtambui?
 
Haimtambui kama shoga kwani kilichomfanya ahukumiwe si ni ushoga? Vipi haimtambui?
Point ni magereza inamtambua kama dume
Na huyo delicious atawekwa selo za wanaume
Labda mule ndani wakati wa kulala wamtenge kwenye kichumba chake
Sema huko atagombaniwa kama Mpira wa kona
Wenye Hela na wanao pokea vitu vizuri vizuri siku ya visiting day ndiyo zaoo watu kama hao
Ila kwa magereza ni marufuku ukishtaki hicho kipigo
Atakacho pewa huyo basha ni balaaa
Labda kama apende mwenyewe

Ova
 
Serikali ifunge kamera kila paa la nyumba naamini watakusanya trilioni nyingi sana kwa mwezi mmoja tu kama faini ya wala na waliwa tigo.
TRA itangaze tenda ya kumpata mzabuni wa kufunga kamera kwenye paa za nyumba za watanzania waanze kukusanya faini mwaka wa fedha 2021.
 
Gesti zote ziwekwe CCTV vyumbani hasa gesti za Dar, Dom, Mza na Ars
 
Gesti zote ziwekwe CCTV vyumbani hasa gesti za Dar, Dom, Mza na Ars
Sasa mapozi kama hayo anataka nn
Huyu

Ova
Screenshot_20200927-114247.jpg
 
Katika kulipa fine ya mahakama Kuna kujiandaa
Mzee, ndomana wamepewa muda waende gerezani au wakamilishe fine hiyo

Ova
Kuna wasamaria wengi wanapenda kwenda kumlipia Delicious hiyo fine Ila tu isitangazwe Ni Nani. Maana shekh wangu memsapu akisikia umetoa milioni tano.......!!!!!! Kulipia ubwabwa ilhali mama nae anaupika nyumbani.....
 
James Delicious licha ya ushahidi, alikuwa anauza mku.ndu kwa njia ya mtandaoni, alikuwa amejaa mitandaoni, Telegram na kwingineko alikuwa akijiuza wazi wazi, nimepitia mitandaoni kwa muda mrefu, je unajua labda walimwekea mtego gani latika kutafuta ushahidi? Huwezi jua labda kuna mtu alijifanya mteja huko mtandaoni na kuahidi kukutana nae sehemu ili wafanye yao. Mara ya mwisho alipokuwa akisakwa alikimbia Dar na kuelekea Mwanza na bado alikuwa anauza kwa njia ya mtandao.
Hapa ndio napata kigugumizi kuhusu ushoga,kama ni hisia au njaa tu

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Serikali ifunge kamera kila paa la nyumba naamini watakusanya trilioni nyingi sana kwa mwezi mmoja tu kama faini ya wala na waliwa tigo.
TRA itangaze tenda ya kumpata mzabuni wa kufunga kamera kwenye paa za nyumba za watanzania waanze kukusanya faini mwaka wa fedha 2021.
Hahaa ni kweli mkuu hasa mikoa ya pwani

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Kuna wasamaria wengi wanapenda kwenda kumlipia Delicious hiyo fine Ila tu isitangazwe Ni Nani. Maana shekh wangu memsapu akisikia umetoa milioni tano.......!!!!!! Kulipia ubwabwa ilhali mama nae anaupika nyumbani.....
Memsapu ndo nan

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Mi nadhani kosa hapa ni kujirekodi na kufanya uzembe ikavuja. Otherwise hata huyo jaji pengine angepaswa kuwa ndani muda huu, nani anajua mienendo ya mwenzake awapo faragha?
 
Haya mambo ni ya kishetani mkuu hayausiani na dini ya mtu.
Kuna kijana wa kiume James Delicicous sio muisilamu lakini anakatikia mb()() kama anamota kiunoni.

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Ulishaambiwa ukienda kujisaidia haja kubwa na kujamba mknd* ni mali yako ila ukiutumia kinyume na matumizi hayo ni mali ya jamhuri.

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hukumu imetolewa leo na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu DSM

Washtakiwa wameshindwa kulipa faini na hivyo wamepelekwa gerezani kuanza kutumikia adhabu yao.

=====

Nimezingatia hoja za pande zote mbili na athari za makosa haya, ni kweli washitakiwa wote vijana na wanategemewa, nimeona mshitakiwa wa kwanza anajutia, kutokana na mazingira ya kesi hii adhabu yake ni miaka 30 kila kosa ambapo nikiwafunga mtapotea kabisa" amesema Hakimu Mkazi Mfawidhi Godfrey Isaya

"Hivyo kwa mazingira mliyoyasema na lengo la adhabu ni kujirudi, mshitakiwa wa kwanza utalipa Milioni 3 ama jela miaka 5 (Amber Rutty) mshitakiwa wa pili utalipa faini ya milioni 3 ama jela miaka 5 (Said Bakary ) na mshitakiwa wa tatu faini milioni 5 ama jela miaka 5 (James Charles) na adhabu zitaenda sambamba" ameongeza

Nani alikuwepo huko walikofanyia hayo
 
Acha kuwatetea hao firauni.. Mungu akileta moto kama Sodoma na Gomora, utateketea hata wewe usiyehusika.. Miili ni yao.. Ila vitendo wanavyofanya vinahatarisha hata usalawa wako, wewe usiyehusika!
Unajua yanayofanyika kwa siri?Mimi naungana na anayesema kosa lilipaswa kuwa kusambaza video na si hilo la kuingiliwa kinyume!
Kama tunaogopa Sodoma na Gomora basi maana yake serikali ina dini!Kwa maana hiyo ili kuzuia kabisa watu wawe wanapimwa tupu zao za nyuma kama wameingiliwa na watakaokutwa weingiliwa washitakiwe na kufungwa!Hapa ni kama tunataka kutokomeza kabisa mchezo huo na sio maigizo!
 
Back
Top Bottom