"Amber Ruty" anaweza kuigiza filamu za ngono

Hakika mkuu, wanasingizia tu kuwa sisi ndio tunalazimisha huo ushetani wakati wao ndio mikao yao inapelekea hvo

Wanawake wa Dar ndio michezo yao hiyo, Halafu wanajifanya kutoa shutuma kwa wanaume
 
Sasa ndo nimeelewa kumbe huyu Kima, hii kazi kaanza kitambo napale anatangaza soko pumbavu zake!
 
Sasa huyo naye. Ni msanii?au kahaba tu hana cha u video vixen wala kuimba hajui
Vyombo vya habari UCHWARA na mashabiki maandazi ndio wanaowapa watu hawa nafasi ya kuwa maarufu, wachache sana wana vipaji na wanaishi kwa kazi hiyo wengi ni wahuni tu, tunawashabikia wakina Wema, Uwoya na wengine wengi, ila si kwaajili ya kazi zao bali upuuzi wao, imagine idadi ya followers walio nao ndio utagundua tatizo ni sisi kushabikia mambo ya kipuuzi.
Inashangaza sana kuona Wema anaitisha Press na waandishi wanaenda hapo utaona kuna tatizo kubwa katika jamii yetu na hakuna anayesema. Inasikitisha sana.
 
Inabid basata waitreat hi tabia isijirudie tena mana wamefanya kama mchezo wakijua wanaomba msamaha na wakat mwingne wanapewa hadhabu ndogo

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli kabisa. Hawa ''waandishi'' ndiyo chachu ya haya yanayotokea. Inabidi serikali iwe inatoa adhabu kwa ma blog na online TV
Yaani inaonekana TCRA zaidi ya kuchukua hela ya usajili, hawana miongozo yoyote wa jinsi gani hizi Blogs na Online channels wafanyaje kazi zao, yaani sijui hizi taasisi wanafanya kazi gani huko maofisini, maadili yanapotea na hakuna anayesema zaidi ya kulalamika kama hivi.
 
Mwili wken una mabaka kama Gari la j---
Video yake yenyewe washaiupload kwenye mtandao wa xvideos.com

Ova
 
Da nimeziona ila inasikitisha sana , pole zake hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…