"Amber Ruty" anaweza kuigiza filamu za ngono

  • mimi nadhani BASATA nao ni jipu tuu kila mara wanawaita na kuishia hapo. au wanapowaita huwa wanatoa maelezo ambayo yanatosha kuhalalisha huu upuuzi wanaopost kwenye mitandao. mimi siyo mjuvi wa sheria lakini kwa haya yanayoyanayoendelea kuwekwa kwenye mitandao yanaonyesha ni aina gani ya jamii tuliyonayo kwa sasa. Viongozi husika wanaweka vishoja na kusoma magazeti kwenye STK. kana kwamba haya hawayaoni . inatiashaka sana kama mtu haogopi hata mamlaka zinazohusika na mwisho wa siku abajuwa anafungia lakini upuuzi wake ataendelea kuufanya. kama mtu anahaja ya kufanya upuuzj huu mbona yapo mataifa mengi tu yanayoruhusu haya waende.
 
Wakuu naiomba hiyo clip nami nifaidi kwa macho
 
Kweli kabisa
 
Bei gani kumpata Amba?
 
Makonda kasema ajisalimishe polisi kabla ya saa 12 leo Oct 26
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…