"Amber Ruty" anaweza kuigiza filamu za ngono

Hawa mastar wanaji rekodi wenyewe nakuzivujisha kupata kiki sasa ukiangalia amber rutty very shame washitakiwe tu kwa kweli hafu mwanaume kajifunika, na mbaya kuna watangazaji wana kuwa wana mhoji na yeye anaona sifa. Wema kajirekodi video zake kwa kiki ya million Tatu. Hawafikirii mbele hawa.
Tena huyo amber ana alama sijui ni ya OP chakushangaza ni waandishi uchwara kumhoji
Ni vyema dada zetu wakajifunza kwa Kidot, uchafu wake wote ulianikwa baada ya kuwa DC, tuifikirie kesho zaidi kuliko leo
 
Mara kakana tena
IMG-20181025-WA0079.jpeg
 
Hawa mastar wanaji rekodi wenyewe nakuzivujisha kupata kiki sasa ukiangalia amber rutty very shame washitakiwe tu kwa kweli hafu mwanaume kajifunika, na mbaya kuna watangazaji wana kuwa wana mhoji na yeye anaona sifa. Wema kajirekodi video zake kwa kiki ya million Tatu. Hawafikirii mbele hawa.
Tena huyo amber ana alama sijui ni ya OP chakushangaza ni waandishi uchwara kumhoji
Cariha nafikiri siyo star sababu mimi simfahamu ndiyo kwanza habari zake nazipata leo
 
Ni vyema dada zetu wakajifunza kwa Kidot, uchafu wake wote ulianikwa baada ya kuwa DC, tuifikirie kesho zaidi kuliko leo
Kidoti alikuwa amekubuhu uhuni ila alikuwa anafanya kwa siri sio kwa kujianika hata alipopata nafasi mavazi ndo yakawa sababu, though naye video yake ilivujaga long. Ni vzuri kuepuka video na mapicha ya ajabu hujui mbeleni zinaweza kuja kukuchafua
 
Duh nimeiona hii ni chafu haina viwango yale mabaka mabaka kwenye chama wamegoma maana wameacha kuifanyia kazi wanaanza kusema haya mabaka ya nini, hakuna mtu chaman aliyepandisha mzuka labda kama ipo nyingine wakuu huenda hii ya long mtusaidie maana hapa tulijiandaa kabisa
 
Back
Top Bottom