nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Yule msanii celebrity class A,mwanadada mwenye talent kubwa kabisa barani Afrika,role model kwa wasichana teenagers na wanafunzi wa kike ametikisa mji wa Mtwara kwa kufanya show kali iliyowaacha hoi waliohudhuria
Ikumbukwe majuzi alipata mapokezi makubwa sana akiwa na mumewe ambaye pia ni musician.
Wadau wa burudani tunawapongeza sana kwa ushirikiano mlioonesha kwa Amber Ruty na mumewe
Ikumbukwe majuzi alipata mapokezi makubwa sana akiwa na mumewe ambaye pia ni musician.
Wadau wa burudani tunawapongeza sana kwa ushirikiano mlioonesha kwa Amber Ruty na mumewe