..hivi wanaume wanavyokunywa pombe mpaka usiku wa manane, 7 days a week, hawaathiri malezi ya familia zao?
..je, jukumu la kutunza watoto ni la mwanamke peke yake?
well behaved women never make history.........
sijui kama nitakua nakosea ila mimi nadhani ni akili finyu za mtu binafsi sidhani kama kupata mafanikio kuliko mwenzi wako ndio iwe chanzo cha kumnyanyasa ilhali uliapa kumvumilia katika shida na raha.huo unakua ni unafki wa kijinga aidha kwa kuiga au kupata ushauri mbovu mimi nina uwezo kuliko mume wangu na wala simdharau sote ni sawa tena nafanya kazi kwa bidii ili nimsaidie kwa nguvu zote asijihisi mpweke tena nimewasha moyo wa mapenzi kwa petrol kwenye chanzo cha gesi ni raha tu.
Mkeshahoi!
Vipi tena? Akina Mama hawajaamka sasa hivi!
Well:Well:Well
Utafiti wako upo ki-ujumla zaidi - Binafsi nachelea kuandika kuwa wanawake waliofanikiwa kimaisha: Wamefanikiwa kuwa na familia BORA as well.
Pia wanawake wenye kiu ya Elimu, equally they have been blessed with lovely families.
In general, utafiti wako umetumia sample ndogo sana!
Swala hapa ni vip mwanamke ana- manage family na kazi kwa ujumla sio ubusy wala kufika nyumbani saa nne.
wa mama mwenye kujua nini maana ya family akitoka kwenye mishughuliko yake na baada ya kuoga na kupumzika inampasa ajue watoto wameenda shule walikuwa na tatizo shuleni ,nyumbani kuna tatizo gani..
Ni mambo gani hayajaenda sawa hapo nyumbani na shuleni kwa watoto ,mzee ana tatizo gani baada ya hapo ile chakula ya wakubwa kwani kila siku inaliwa ? inategemea kama mama amechoka akisema vizuri na baba leo nimechoka Dii utakula kidogo na si kwa fujo kuna tatizo ...na pia mama akiwa huko job kwenye kutafuta riziki inabidi abakishe nguvu kidogo kwa ajili ya family? ?Ni ugumu tu wa maisha unafanya kina mama tuhangaike
Pia kuna baadhi ya wanaume wamekuwa hawajali family zao kutoa matumizi ya ndani kwao ni msamiati ndio sababu kinamama tumepanuka kimawazo kwa sasa na kutokuwa tegemezi ili hata kama mambo yakienda mrama unajua pa kushika.
So you are telling us we should not be ambitious or we shouldn't really work...?
I think women are perfectly capable at balancing both.. Theres no reason why she can't work and still make her family happy, It's in her drive to do so....
Maisha yamebadilika sana ndugu yangu siyo enzi tulizolelewa sisi, Enzi yetu tulizaliwa wengi katika familia na wazee wengine walikuwa hawataki wakina mama wafanye kazi , hivyo tuliishi kwa pesa za mshahara MMOJA, Japo maisha hayakuwa ya juu sana lakini wazee walimudu, sasa hivi mambo yamebadilika sana maisha yako juu sana , Demand zimeongezeka sana, industrilization imetuongezea gharama, globalization imeleta competition mpaka milangoni mwa nyumba zetu. Maisha ya sasa yanataka kusaidiana.Mi nadhani wanawake hawakupaswa kupewa majukumu mengi zaidi ya kulea familia.
Hii Policy ni nzuri lakini watu wanatofautiana vipato, inawezekana mshahara wako mmoja ukawa sawa na mishahara 50 ya watu wa kawaida hivyo hiyo policy ita-HOLD, kama siyo je Inakuwaje? Hilo siyo kwa kila mtu linawezekana.Mi policy ya nyumbani kwangu ni kuwa sitaki mke wangu awe busy na kazi kuliko familia.
Mi nikifika home nataka nimkute wife, ameshaweka mambo sawa na anakuwa na nguvu ya chakula ya usiku ya watu wakubwa (i.e. tendo la nanihiiii).
AS QUOTED ABOVE IN RED - Kuwa chakula cha Serengeti boys - ni tabia, maadili ya mtu - awe ana mume au hana - and its a spiritual problem - kwani uasherati ni tabia toka kwa shetani - haichagui - hivyo sio lazima hao wanawake waishie kwa serengeti boys kwa sababu tu ya kusoma sana, kuwa na madaraka serikalini, kuwa na fedha nyingi, kuwa busy sana na kazi, biashara etc. - heshima ya mtu inatoka moyoni mwake -
Emotionally distreful life - hata wale waliofunga ndoa/wenye wengi - lakini ndoa hizo au mahusiano hayo hayana amani, uaminifu, inatokea pia. Na wale walio "mama wa nyumbani tu ..... 24hrs - bila kupata mahitaji ya msingi, kugeuka omba omba kwenye maisha yao - hata akitamani kununua kitu kidogo apewe hela na mumewe - kutoweza kufanyika " kama Mungu alivyowakusudia" - [meaning some a born presidents, prime ministers, teachers, doctors, lecturers - and name it - even JF members......] na vipaji vyao vikawa limited kutunza tu familia .... hawatakuwa na raha yoyote
Kuharibika kwa watoto - sio swala la mwanamke tu - bali WAZAZI WOTE - Baba na Mama - lifestyle ya familia etc. Pia jinsi ya kuwalea watoto katika maadili mema - ya kumjua Mungu na kumpenda Mungu - kujua madhara ya dhambi na athari zake HATA KAMA MAMA YAO HAFANYI KAZI YUKO NAO 24 HRS HAITASAIDIA
SO WANAWAKE WAWE NA CHANCE YA KULITUMIKIA TAIFA LAO KAMA WANAUME - KUCHELEWA KURUDI NYUMBANI NI MFUMO WA MAISHA YA TANZANIA - FOLENI ETC. NA KAMA MKEO ANA KAZI - LETS SAY A DOCTOR - MWACHE AHUDUMIA WAGONJWA - MPE SUPPORT AFANYE HIVYO. HAYO NI MAWAZO YANGU TU - I BELIEVE AM NOT WRONG!
Nakubali kukosolewa!!