AS QUOTED ABOVE IN RED - Kuwa chakula cha Serengeti boys - ni tabia, maadili ya mtu - awe ana mume au hana - and its a spiritual problem - kwani uasherati ni tabia toka kwa shetani - haichagui - hivyo sio lazima hao wanawake waishie kwa serengeti boys kwa sababu tu ya kusoma sana, kuwa na madaraka serikalini, kuwa na fedha nyingi, kuwa busy sana na kazi, biashara etc. - heshima ya mtu inatoka moyoni mwake -
Emotionally distreful life - hata wale waliofunga ndoa/wenye wengi - lakini ndoa hizo au mahusiano hayo hayana amani, uaminifu, inatokea pia. Na wale walio "mama wa nyumbani tu ..... 24hrs - bila kupata mahitaji ya msingi, kugeuka omba omba kwenye maisha yao - hata akitamani kununua kitu kidogo apewe hela na mumewe - kutoweza kufanyika " kama Mungu alivyowakusudia" - [meaning some a born presidents, prime ministers, teachers, doctors, lecturers - and name it - even JF members......] na vipaji vyao vikawa limited kutunza tu familia .... hawatakuwa na raha yoyote
Kuharibika kwa watoto - sio swala la mwanamke tu - bali WAZAZI WOTE - Baba na Mama - lifestyle ya familia etc. Pia jinsi ya kuwalea watoto katika maadili mema - ya kumjua Mungu na kumpenda Mungu - kujua madhara ya dhambi na athari zake HATA KAMA MAMA YAO HAFANYI KAZI YUKO NAO 24 HRS HAITASAIDIA
SO WANAWAKE WAWE NA CHANCE YA KULITUMIKIA TAIFA LAO KAMA WANAUME - KUCHELEWA KURUDI NYUMBANI NI MFUMO WA MAISHA YA TANZANIA - FOLENI ETC. NA KAMA MKEO ANA KAZI - LETS SAY A DOCTOR - MWACHE AHUDUMIA WAGONJWA - MPE SUPPORT AFANYE HIVYO. HAYO NI MAWAZO YANGU TU - I BELIEVE AM NOT WRONG!
Nakubali kukosolewa!!