Ambrose Dunga: Producer aliyezivunja vunja Bongo Records, MJ Records kwa ma-beat makali yenye 'back vocals'

Kuna mkono mwingine naona nao una touch za Dunga. Mkono wa Chege na Temba "nakuita njoo, nakuita kuita "
 
Huwezi mfananisha dunga na P funk majani ata siku moja.ulichooandika ni mahaba tu.mbaya zaidi umemfanisha dunga na Timberland aisee haya Ni matusi makubwa mnooo.toka nimezaliwa mpaka sasa sijawahi kuona sampuli ya Timberland na ata video zake Ana staili zak e ata unune utafurahi tu
 
Beat ya Mh Temba ft Ray C "nipe mimi" dah ukiisikiliza kwenye mziki wa kitaalamu ni bonge moja la dundo.....


Halafu huyu Mama Debora ana I.D yake nyingine ya kiume!!siitaji kwa sasa
 
Shakii pia alikuwa anagonga beat,kafanya nyimbo za Mchizi Mox,Jay moe,fa nk nk na good enough alikuwa pia na identity yake
 
asante kwa uzi mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…