James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Dance kicheche... Kichecheee....Hiyo ni Chege Ft. Ngwea - Karibu Kiumeni.
Gigy akiwa video vixen [emoji1]Pancho Latino daah
Herrmy b
Lindu beno nduluNa kuna Bwana anaoitwa Lindu, alikuwa mtayarishaji wa muziki wa hiphop miaka ya 2000s, sijui kama mpaka sasa bado anendelea na kazi hiyo. Alikuwa ni mwenye mwili sana (mnene) na anaonekana kama mzembe mzembe ila beat zake sasa ni balaa, moja ya kazi yake ni hii alifanya na Chid benz inaitwa natubu (2005)
Nimeusoma huu Uzi kwa huzuni sana hamna producer niliyekua namkubali hapa tz kama Dunga.. Umemuelezea vizuri sana.. Na vile niko bar napata moja moto moja baridi huku kwa mbali inapigwa bia tamu ya Mario mara sandakalawe ya Jeshi, yaani nahisi ni kama makelele tu hamna ladha ya mziki bali kuna adha kadha wa kadha..... Aisee Dunga ajengewe tu sanamu na aliyemfanyia figisu ili atimuliwe bongo alaaniwe yeye na ukoo wake wote.. By the way umri wangu unapaa lakini bado sijafanya kitu cha maana... Hapo nimekumbuka temba alivokua anakazia "hii beat ya Dunga"!!! Da siku ziko kasi sana r.I.p YP..Dance kicheche... Kichecheee....
Dance kicheche... Kichecheee...
Nasema njooo (nakuita kuita)
Nikukaribishe kiumeni!
Dunga ni nyoko!
😃😃😃😃😃Nimeusoma huu Uzi kwa huzuni sana hamna producer niliyekua namkubali hapa tz kama Dunga.. Umemuelezea vizuri sana.. Na vile niko bar napata moja moto moja baridi huku kwa mbali inapigwa bia tamu ya Mario mara sandakalawe ya Jeshi, yaani nahisi ni kama makelele tu hamna ladha ya mziki bali kuna adha kadha wa kadha..... Aisee Dunga ajengewe tu sanamu na aliyemfanyia figisu ili atimuliwe bongo alaaniwe yeye na ukoo wake wote.. By the way umri wangu unapaa lakini bado sijafanya kitu cha maana... Hapo nimekumbuka temba alivokua anakazia "hii beat ya Dunga"!!! Da siku ziko kasi sana r.I.p YP..
Nikicheki majukumu yananandamaa..
Oya jamaa umri unakwenda...
Basi bana ngoja niishie hapo niendelee kuichapa Serengeti taratiiiiiibu.. Happy new yearrrrr
Aysee nilihangaika Sana kumjua producer wa natubu ya Chid Benz! Aysee ile beat ina ujazo Sana,na ile ngoma ni "sala" tosha yani!!bless upNa kuna Bwana anaoitwa Lindu, alikuwa mtayarishaji wa muziki wa hiphop miaka ya 2000s, sijui kama mpaka sasa bado anendelea na kazi hiyo. Alikuwa ni mwenye mwili sana (mnene) na anaonekana kama mzembe mzembe ila beat zake sasa ni balaa, moja ya kazi yake ni hii alifanya na Chid benz inaitwa natubu (2005)
Bro!! Niambie chochote kuhusu Chizan brain,namkubali Sana mwamba yuleNa kuna Bwana anaoitwa Lindu, alikuwa mtayarishaji wa muziki wa hiphop miaka ya 2000s, sijui kama mpaka sasa bado anendelea na kazi hiyo. Alikuwa ni mwenye mwili sana (mnene) na anaonekana kama mzembe mzembe ila beat zake sasa ni balaa, moja ya kazi yake ni hii alifanya na Chid benz inaitwa natubu (2005)
Yeah kumbe nae alikua mkenya?Kuna Mkenya mwingine alikuwa anaitwa shirko mnamkumbuka?
Sio mzanzibar kweli?Yap..Ila nahisi Mombasa
MkenyaSio mzanzibar kweli?