Ambrose Dunga: Producer aliyezivunja vunja Bongo Records, MJ Records kwa ma-beat makali yenye 'back vocals'


Unaikumbuka ngoma ya Hot Pot Family inaitwa Bonge la Toto chorus ameimba Q Chilla?
 
She performs - Ngwair ft TID haukutengenezwa 41 records,ulitengenezwa Studio 69 na hiyo Sauti unayosema sio Dunga ila ni sample vocal ambayo imetumika sana pia kwenye nyimbo za Ulaya.

Iphone 11 Pro Max
 
mbona wapo maproducer wazuri hata leo mfano.. Lizer, kimambo, s2kizzy etc

Sent using Full_HD
 
Joyner Lucas ft Eminem
Mifoko yake ni hatari sana ila Bado Mika Mwamba na Master Jay watabaki kua bora kwangu

Point of Correction: Eminem Feat. Joyner Lucas (and not vice versa)
 
Duh basi fresh kunradhi kwa hilo...itakuwa nimepitiwa na Mandela effects maana nakumbuka kabisa nilisikia tàarifa ya kifo ya Dunga

TADPOLE unazingua mdau,wewe ulisikia kifo cha Dunga wa mtaani kwenu aliyekuwa anawadunga wanawake kwenye daladala ukakimbilia kujua ni Dunga producer.

Umetuangusha.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…