Ambrose Dunga: Producer aliyezivunja vunja Bongo Records, MJ Records kwa ma-beat makali yenye 'back vocals'

Dah uzi kutoka celebrities forum leo umetrend. Hongera Mama Debora kwa uhandishi. Endelea kupiga C++ kesho uje na uzi kama huu. Safi sana.
 
Katika production za miaka ya karibuni nimeielewa sana ngoma yake Say Something aliyo feature na Drake.
 

Wimbo wake recent nnaoupenda ni huu wa Chege na Temba ft Emmy unaitwa GO DOWN! Dunga yumo kama kawaida anachombeza, "tembeleee.." Una bit tamu sana
 
Even though I got my own CD...
May be even on TV..
There aint no changing ME...
I can only be me, me, ME..

Beat lake kali sana. RNB moja ya kufanyia mapenzi usiku!
I really, really want you to see me
So baby, don't turn off the lights, girl
I really, really want you to see me
So baby, don't turn off the lights, girl
I really, really want you to see me
So baby, don't turn off the lights, girl
I really, really want you to see me
So baby, don't turn off the lights, girl

Turn off the Lights remix.. Nelly Furtado ft Timbaland

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka hapo ule wimbo wa TMK wanaume, Umri
 
Left Eye nilimwelewaga zaidi kwenye "Never Be The Same Again"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…