Ambrose Dunga: Producer aliyezivunja vunja Bongo Records, MJ Records kwa ma-beat makali yenye 'back vocals'

Hivi producer effector na ile lebo yake nimeisahau jina yuko wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa aliwagongaga beat kali sana kwenye 'itikadi zetu' ya East Cost.

Pia kuna dogo mmoja mwenye melody nzuri sana aliyefanya chorus ya itikadi zetu nadhani alikua anaitwa 'Stand boy'(kama skosei). Huyu bwana mdogo alifanyiwaga beat moja very heavy na huyo Effector kwenye wimbo wake 'sweet girl'...sijui huyu bwana mdogo alikujaga kuishia wapi

Sent from my TECNO B1f using Tapatalk
 
Javascript

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Huyo dogo ndio yule kwenye ngoma ya Komaa Nao anachanika verse ya pili kutoka mwisho (kabla ya Snare) anasema:

Ni mkoleza moto namna hiyoo..
Upanga mashariki kisiwa cha burudani...
Hamfanani na sisi tunavovaa...
Hamfanani na mimi ninavong'aa...
Sijidai hata kwetu nikila pilau...

Ndio huyo dogo?

Ama ni yule kwenye ngoma hiyo hiyo anafoka:

We muongo usizushe...
We mtata ah ah usiniguse..
Chora mstari nivuke, niruke...
Mwingine aige apasuke...
 
Mleta mada umeileta vizuri sana mada yako, hongera mno.

Huyo jamaa kwa kweli mimi japo sio mpenzi wa nyimbo hizi sijui za kizazi kipya lakini nilikua namkubali sana . ujio wake ulileta changamoto sana kwa wenyeji kiasi cha kupotea kabisa kwa majina yao.
Kwa ufupi yupo vizuri sana sana.

Nje kidogo ya mjadala ni wewe Mama Debora kwa ufupi upo vizuri sana sana ni wanawake wachache wa aina yako ingawa mashaka ni mengi kama wewe ni Mama Debora kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio huyo kwenye komaa nao.

Huyu Stand Boy alikua kama anafanya r&b zaidi, sidhani kama amewahi rap.

Skiliza 'itikadi zetu ni kusaka mshiko', ameimba chorus humo then akapiga ka bridge flani kabla ya verse ya mwisho ya wimbo ambayo imeimbwa na GK

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Even though I got my own CD...
May be even on TV..
There aint no changing ME...
I can only be me, me, ME..

Beat lake kali sana. RNB moja ya kufanyia mapenzi usiku!
Huu wimbo unanikumbusha mbali sana, enzi unatoka ndio tumenunua sony radio ya cd 3, unanikumbusha mpenzi wangu senorina sakaya
 
mbona wapo maproducer wazuri hata leo mfano.. Lizer, kimambo, s2kizzy etc

Sent using Full_HD
S2kizzy hamna producer pale, Lizer midundo yote inafanana, huyo S2kizzy beats zake zinakuwa kama anagonganisha vyuma tu.

Generation yao atleast Abbah anajitahidi kutoa beats nzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaweza kama si Salama Jabir basi ni Stara Thomas.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…