PACHOTO
JF-Expert Member
- Dec 30, 2011
- 1,321
- 973
Jamani kama ilivyoripotiwa na vyombo vya habari kwamba Victor Ambrose mtuhumiwa wa ulipuaji wa kanisa kule arusha ambaye amesababisha vifo na majeruhi kibao jana alifikishwa mahakamani na kufunguliwa mashtaka mawili, moja likiwa la kuua na jingine la kujaribu kuua, nadhani mtuhumiwa huyu angekuwa ni muislam basi ile sheria ya UGAIDI tungeiona inafanya kazi tungesikia ' mtuhumiwa huyo anashitakiwa kwa kosa la kwanza la UGAIDI' Huu ni mtazamo tu kama unataka chukua hutaki kafie mbele.