Ambrose na sheria ya ugaidi

Ambrose na sheria ya ugaidi

PACHOTO

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2011
Posts
1,321
Reaction score
973
Jamani kama ilivyoripotiwa na vyombo vya habari kwamba Victor Ambrose mtuhumiwa wa ulipuaji wa kanisa kule arusha ambaye amesababisha vifo na majeruhi kibao jana alifikishwa mahakamani na kufunguliwa mashtaka mawili, moja likiwa la kuua na jingine la kujaribu kuua, nadhani mtuhumiwa huyu angekuwa ni muislam basi ile sheria ya UGAIDI tungeiona inafanya kazi tungesikia ' mtuhumiwa huyo anashitakiwa kwa kosa la kwanza la UGAIDI' Huu ni mtazamo tu kama unataka chukua hutaki kafie mbele.
 
hakuna kesi hapowanam-frame huyo mtu ili wafunike ukweli,sioni motive ya dreva wa bodaboda.
 
Hii haina tofauti na kesi ya yule Mkenya wa KOVA!...Yangu macho na hili changa la macho!
 
Jamani kama ilivyoripotiwa na vyombo vya habari kwamba Victor Ambrose mtuhumiwa wa ulipuaji wa kanisa kule arusha ambaye amesababisha vifo na majeruhi kibao jana alifikishwa mahakamani na kufunguliwa mashtaka mawili, moja likiwa la kuua na jingine la kujaribu kuua, nadhani mtuhumiwa huyu angekuwa ni muislam basi ile sheria ya UGAIDI tungeiona inafanya kazi tungesikia ' mtuhumiwa huyo anashitakiwa kwa kosa la kwanza la UGAIDI' Huu ni mtazamo tu kama unataka chukua hutaki kafie mbele.
Mkuu, Lwakatare aliyesingiziwa kosa la ugaidi alikuwa muislam? Labda kama wakati anasachiwa angekutwa na kadi ya CDM, moja kwa moja angeshtakiwa kwa kosa la ugaidi!
 
Back
Top Bottom