Mparee2 JF-Expert Member Joined Sep 2, 2012 Posts 3,092 Reaction score 5,386 Jun 6, 2022 #1 Mtu akitaka kutumia ambulance ya serikali kusafirishia mgonjwa kwenda Hospitali ya Serikali anatakiwa kufuata utaratibu gani?
Mtu akitaka kutumia ambulance ya serikali kusafirishia mgonjwa kwenda Hospitali ya Serikali anatakiwa kufuata utaratibu gani?
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,048 Reaction score 15,465 Jun 6, 2022 #2 Mparee2 said: Nikitaka kutumia ambulance kusafirishia mgonjwa natakiwa kufuata utaratibu gani? Click to expand... andaa hela
Mparee2 said: Nikitaka kutumia ambulance kusafirishia mgonjwa natakiwa kufuata utaratibu gani? Click to expand... andaa hela
and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Jun 6, 2022 #3 Mparee2 said: Mtu akitaka kutumia ambulance ya serikali kusafirishia mgonjwa kwenda Hospitali ya Serikali anatakiwa kufuata utaratibu gani? Click to expand... Uwe na Kadi ya Chama
Mparee2 said: Mtu akitaka kutumia ambulance ya serikali kusafirishia mgonjwa kwenda Hospitali ya Serikali anatakiwa kufuata utaratibu gani? Click to expand... Uwe na Kadi ya Chama
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Jun 6, 2022 #4 Andaa tu hela ya mafuta, na pia mgonjwa wako akidhi kweli vigezo vumya kusafirishwa kwa hiyo ambulance.
Andaa tu hela ya mafuta, na pia mgonjwa wako akidhi kweli vigezo vumya kusafirishwa kwa hiyo ambulance.