MWANAMKE INITIATIVES FOUNDATION (MIF) YAGAWA AMBULANCE 4 NA VITI 50 KWA WENYE ULEMAVU
Siku ya tarehe 27 Januari 2025, kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) chini ya Mwenyekiti wake...
Kila mara tunajribu kuwaambia kwa vile panton ni moja kipind hiki, nyakati za dharula msiwe mnajaza magari line tatu. Hii itasaidia vipi? Itasaidia abiria kuingia kwa haraka na kuondoka haraka kuliko magari yakiziba full matokeo yake watu wanaingia kwa kupenya.
Leo ambulance maskini mgonjwa...
Majeruhi karibu wote waliokolewa wapatao 40 mpaka sasa kwenye tukio la kuanguka kwa ghorofa mitaa ya Kariakoo jijini Darisalama wamepelekwa hospitali ya Muhimbili wakiwa wamepakiwa kwenye gari za wazi nyuma maarufu kama Pick Up badala ya gari maalum za wagonjwa ambulance
Sasa najiuliza Kariakoo...
Dereva mmoja wa ambulance ameweka wazi ya kwamba wamechoshwa na tabia ya wapiganaji wa Hamas kutumia Magari ya ambulance kusafirisha silaha na majeruhi wao. Kwamba Hamas hujificha au kutumia ambulance kwenye kipindi Cha vita.
Kauli hii imetolewa na dereva wa ambulance ndani ya Gaza.
Wadau hamjamboni nyote?
Tahadhari kwa wanaotumia magari ya kubebea wagonjwa almaarufu ambulance kumbe hutumiwa na magaidi ya Hezbollah!
#Times of Israel
In a separate post, Adraee reiterates an earlier call for health workers and medical teams in southern Lebanon to avoid using ambulances...
Tuanaweza vipi kuafford? Unaambia utoe lita 180 ili mgonjwa wako afike hospitali ya rufaa?
Hili la kwenye matenga ulichomoa kwa kug'aka huko Tunduru.
Lakini ukweli ni kuwa hili ni tatizo sugu. Magari ya Wagonjwa bila kuchangia hupati huduma. Sijui labda kwa unakaa mjini Dar.
Ila mimi najua...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amekemea na kuwaonya viongozi wa Hospitali nchini ambazo zina magari ya kubebea wagonjwa (ambulance) wenye tabia ya kutoza wagonjwa au ndugu zao malipo ya posho ya dereva pamoja na mtaalamu ambaye uhusika katika safari.
Amesema kwamba ni marufuku kwa hospitali zote...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamikia gharama wanazotozwa wahitaji wa huduma ya Ambulance katika Hospitali ya Mkoa Shinyanga, kumsoma Mdau bonyeza hapa ~ Gharama za “Ambulance” Shinyanga ni mateso kwetu walalahoi Uongozi wa Hospitali umetoa ufafanuzi.
TAARIFA INAYOSAMBAA MTANDAONI DHIDI...
Wananchi wa Kata ya Engusero Jimbo la Kiteto wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia Gari jipya la wagonjwa ambalo litawaondolea adha ya Usafiri wa wagonjwa katika Kata hiyo na Tarafa nzima ya Matui.
Pia, Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe...
Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mkoa wa Manyara, Mhe. Edward Ole Lekaita amekabidhi Ambulance 🚑 mpya kwa uongozi wa Hospitali ya Wilaya ya Kiteto na kuwataka kulitunza ili liwanufaishe.
Vilevile, Mhe. Edward Ole Lekaita amekabidhi Mifuko 900 ya Saruji kwa Kata ya Bwawani (Mifuko 50), AMCOS Matui...
BILIONI 4 KUJENGA AMBULANCE BOAT KUPITIA TASAC ZIWA VIKTORIA, MWANZA
Serikali ya Tanzania kupitia Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) December 22,2023 imetia saini mkataba wa mradi wa ujenzi wa boti yenye vifaa vya matibabu (Ambulance Boat) ambao umesainiwa baina ya TASAC na Kampuni ya...
Israel imekwisha. Hamas wameshaimaliza Israel. Sisi tunasheherekea hapa Tandale kwa Mtogole kwenye Ms..... Wa Ijumaa
Israel... Wamekwisha kabisa. Vita imewashinda..... Hamas wamejificha kwenye mahandaki wakipigana na wadudu kama panya nk. Israel wapo palestine hamas wapo mashimoni. Wakiendelea...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo amesema Serikali inayoongozwa na Rais
Dk. Samia Suluhu Hassan, itapeleka magari mawili ya wagonjwa na moja la kusaidia shughuli za usimamizi wa masuala ya afya katika wilaya nchini ifikapo Agosti mwaka huu.
Akizungumza na mamia ya...
Jambo lingine ni kuwa baadhi ya wagonjwa wanaopatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro wamelalamikia kuchangishwa fedha za mafuta katika magari ya kubeba wagonjwa kutoka hospitali hiyo kwenda kupata matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam.
Wananchi wamesema...
Imekuwa kama kasumba sasa. Mwananchi akipata tatizo kwenye mahospital ya wilaya ambazo ziko na hospital za rufaa na kisha kuandikiwa rufaa huwa anaambiwa kuchangia mafuta ili mgonjwa apelekwe.
Polisi nao ukienda kuripoti tukio la uhalifu ili waende eneo la tukio huwa wanahitaji mafuta ya...
Makata kudai ambulance kuwepo uwanjani ni suala la kikanuni na Ambulance haikuwepo uwanjani bila kujali kuwa ilikwenda wapi kufanya nini. Ambulance ni gari maalumu lenye miundombinu inayoweza kuokoa maisha ya mgonjwa mwenye afya mbaya wakati anakimbizwa kuwahi matibabu kamili ya hospitali.
Sio...
Salaam wakuu.
Nchi hii ni yetu sote, matatizo yetu tunaweza kuyatatua kwa rasimali kidogo tulizonazo. Hapa Tanzania suala la Ambulance hata hatuelewi linafanyaje kazi. Mara nyingi ambulance zinasafirisha referred patient (Wagonjwa pendekezwa kwenda hospital nyingine).
Kwa matatizo ya dharura...
"Nimewasikia wananchi wangu na tumefanya mabadiliko ya rangi ya gari hili (Ambulance) kwa maslahi mapana ya Wana Rorya wote bila ya kujali vyama vyao.
Poleni sana kwa wale waliovurugwa na rangi ya awali, nia yetu ni njema kwa watu wote wa Rorya" Mhe. Jafari Chege Mbunge, Rorya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.