Madereva watano wa Ambulance wakamatwa kwa kusafirisha abiria

Madereva watano wa Ambulance wakamatwa kwa kusafirisha abiria

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata madereva watano wa magari ya kubebea wagonjwa kwa tuhuma za kubeba abiria kinyume cha sheria.

Kamanda wa Polisi mkoani humo, SACP Alex Mkama, amesema madereva hao waliokuwa wakisafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Kagera wamekamatwa kufuatia oparesheni maalum ya kuimarisha usalama barabarani iliyoanza Desemba Mosi mwaka huu.

 
Pia Maza alisharuhusu kwa kamba urefu wake ale ivi wao huko waliko wanafanya Kila jambo lilio sahihi mbele za mbingu na nchi kweli
 
Ambulance kutoka Dar hadi Kagera kwa shughuli gani?
 
Back
Top Bottom