The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Matako yaoWananunua Masilaha mazito hospitali hazina Dawa.
Kuwa mwafrika ni zaidi ya laana.
ULINZI NI MUHIMU SANA KULIKO AFYA YAKO, AFYA UTAKULA HATA MIZIZI PORI UTAPONANimeona polisi wa Uganda na wanajeshi wanavyotesa wapinzani. Wana magari ya bei mbaya na mitulinga usipime. Nimekumbuka hapa kwetu. Pesa ya kuwanunulia magari polisi wa kupiga na kuua waandamanaji inapatikana ila siyo ya kununulia ambulansi, vitabu mashuleni, kuleta maji nk.
Laana ni wewe mwenyeweWananunua Masilaha mazito hospitali hazina Dawa.
Kuwa mwafrika ni zaidi ya laana.
You cannot be serious mwanangu vinginevyo kuna kitu kimechomoka kichwani.ULINZI NI MUHIMU SANA KULIKO AFYA YAKO, AFYA UTAKULA HATA MIZIZI PORI UTAPONA
Hakika hivi waafrica tunavyopenda vurugu usipojizatiti ni shida Ona marekani maanadamano majimbo sita hawavunji hata chupa , ubelgiji walifanya maandamano wakamwaga viazi tu kwenye majengo lakini hawakuiba kitu bongo sasa maanadamano siku 3 tu lakini wizi wa ajabu bila risasi za kutosha ni shidaaaYou cannot be serious mwanangu vinginevyo kuna kitu kimechomoka kichwani.
We acha tu. Aibu. Ulimbukeni ulafi, ubinafsi na uzwazwa sina mfano ukiachia mbali roho mbaya na ushamba. Tena wanajaza ndugu na mahawara zao hadi kwenye misafara ukiachia kwenye maofisi hata baraza la mawaziri. Ndiiyo maana unaona sura za kutia shaka kama akina bashiti unashangaa huu uhawara wa nini kwetu.Kwani hujawahi kuwaona watawala wa Kiafrika wakizunguka kwenye misafara uenye magari 200 ya kifahari, na ulinzi wa kutisha! Halafu wakienda Ulaya, wanapakizwa kwenye Coaster moja!
Sisi tuna uraniumNimeona polisi wa Uganda na wanajeshi wanavyotesa wapinzani. Wana magari ya bei mbaya na mitulinga usipime. Nimekumbuka hapa kwetu. Pesa ya kuwanunulia magari polisi wa kupiga na kuua waandamanaji inapatikana ila siyo ya kununulia ambulansi, vitabu mashuleni, kuleta maji nk.
Mna uranium au laanaSisi tuna uranium
Mkuu, licha ya kuwa na akili mengi, kwa nini unajizima data na kuchagua upumbavu kuwa sehemu yako?ULINZI NI MUHIMU SANA KULIKO AFYA YAKO, AFYA UTAKULA HATA MIZIZI PORI UTAPONA
ahaaa mimi lile tukio la 29 mpaka 31 bado nina kinyongo mno na wahuni , walitutesa sana hakuna kulala siku tatu usiku na mchana ,Mkuu, licha ya kuwa na akili mengi, kwa nini unajizima data na kuchagua upumbavu kuwa sehemu yako?
Mwenye ambulance hatumii bunduki, anatumia hizo ambulance kuokoa maisha ya watu wake. Na mwenye bunduki hatumii ambulance, anatumia hizo bunduki kuokoa utawala wake.Nimeona polisi wa Uganda na wanajeshi wanavyotesa wapinzani. Wana magari ya bei mbaya na mitulinga usipime. Nimekumbuka hapa kwetu. Pesa ya kuwanunulia magari polisi wa kupiga na kuua waandamanaji inapatikana ila siyo ya kununulia ambulansi, vitabu mashuleni, kuleta maji nk.
Hivi kweli hii nchi tumelaaniwa au ni kitu gani kimewakumba hawa viongoziNimeona polisi wa Uganda na wanajeshi wanavyotesa wapinzani. Wana magari ya bei mbaya na mitulinga usipime. Nimekumbuka hapa kwetu. Pesa ya kuwanunulia magari polisi wa kupiga na kuua waandamanaji inapatikana ila siyo ya kununulia ambulansi, vitabu mashuleni, kuleta maji nk.