MZURI SANA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2023
- 240
- 546
Naunga mkono hoja maana jamaa ana mke pisi kweli kweli kwahiyo lolote linaweza tokea.Aache ujinga, akapime DNA
Tumsubiri tuone pua ya mtoto...Hongera kwao ..
Kitanda hakizai haramu98% Sio mwanae huyo
Why DNA?Aache ujinga, akapime DNA
Binafsi sijawahi ona mtandao ambao watu wake wanaact hivi, mpaka nahisi wana JF wengi wamekata tamaa ya maisha, sorry to say this.Jamii Forum nimeipigia salute kwa kukatisha watu tamaa.
Yaani watu badala ya kupongeza na kushare furaha na mhusika aliyepata mtoto baada ya kumtafuta kwa muda mrefu watu wanakuja kuleta tafrani na kuleta taharuki.
Very bad attitude.
Hiyo ndiyo hukumu ya uadilifu katika uislamu.Kuwa mwenye wivu sana na mkeo asitoke na hata asionekane na wanaume ovyo ovyo.Baada ya kufanya yote hayo akizaliwa mtoto weka tumaini huyo ni wa kwako na umpende.Hata asipofanana na wewe usihoji lolote.Kitanda hakizai haramu
πππHiyo ndiyo hukumu ya uadilifu katika uislamu.Kuwa mwenye wivu sana na mkeo asitoke na hata asionekane na wanaume ovyo ovyo.Baada ya kufanya yote hayo akizaliwa mtoto weka tumaini huyo ni wa kwako na umpende.Hata asipofanana na wewe usihoji lolote.
Kwa vile hukuwahi kumuona mkeo na safari za shaka akitokea mtu mjinga mjinga akasema ni mtoto wake pigana naye umrarue kabisa asirudie upuuzi wake.
Wengi ni washamba na malimbukeni. Ukiwa ndio mara yako ya kwanza kuingia JF unaweza ukachanganyikiwa. Jamaa ni much know lakini upstairs ni empty na wana fake maisha kama ambavyo wana fake ID.Binafsi sijawahi ona mtandao ambao watu wake wanaact hivi, mpaka nahisi wana JF wengi wamekata tamaa ya maisha, sorry to say this.