Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Huyo hapo kwenye picha picha ndio pisi "kweri kweri" au kuna mwingine??Naunga mkono hoja maana jamaa ana mke pisi kweli kweli kwahiyo lolote linaweza tokea.
Au landa picha ilitoka vibaya utubadilishie!?