Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Huyo hapo kwenye picha picha ndio pisi "kweri kweri" au kuna mwingine??Naunga mkono hoja maana jamaa ana mke pisi kweli kweli kwahiyo lolote linaweza tokea.
Hapo ni mjamzito nahisi ila dada Yuko vizurHuyo hapo kwenye picha picha ndio pisi "kweri kweri" au kuna mwingine??
Au landa picha ilitoka vibaya utubadilishie!?
Leviticus [emoji736]Hongera sana kwao Mungu awabariki na Genesis akawe Genesis kweli akalete Exodus, Levites, Numbers etc
Ila hiyo kadeti ya mheshimiwa mbona Ina kimiminika au ndiyo Genesis kafanya yake?
Hiyu mdada mbona kiluvya kwa kuomba moja
Ni ma sadist ila najua ye sio wa kwanza kupitia changamoto kama hiiBinafsi sijawahi ona mtandao ambao watu wake wanaact hivi, mpaka nahisi wana JF wengi wamekata tamaa ya maisha, sorry to say this.
Lakini huu mtandao ulikuwa mzuri sana back in the days, binafsi nilijiunga humu kwa kuvutiwa na comments na nyuzi za members.Wengi ni washamba na malimbukeni. Ukiwa ndio mara yako ya kwanza kuingia JF unaweza ukachanganyikiwa. Jamaa ni much know lakini upstairs ni empty na wana fake maisha kama ambavyo wana fake ID.
Binti wa gogoni huyo...hana makuuLakini huu mtandao ulikuwa mzuri sana back in the days, binafsi nilijiunga humu kwa kuvutiwa na comments na nyuzi za members.
Hao wamehangaika kupata mtoto kwa muda mrefu toka walipoona, leo wamepata mtoto mtu anacomment such negative comment kweli!? Halafu tu hawamjui huyo binti wasifikiri ana tabia za hovyo kama za wanawake zao huko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo hapo kwenye picha picha ndio pisi "kweri kweri" au kuna mwingine??
Au landa picha ilitoka vibaya utubadilishie!?
Kuna matango mwitu kibao humu siku hiziJamii Forum nimeipigia salute kwa kukatisha watu tamaa.
Yaani watu badala ya kupongeza na kushare furaha na mhusika aliyepata mtoto baada ya kumtafuta kwa muda mrefu watu wanakuja kuleta tafrani na kuleta taharuki.
Very bad attitude.