Ambwene Mwasongwe: Mwanamuziki bora kabisa wa Injili ambaye hatajwi sana

Sio mtu wa kusaka umaarufu kwenye media na mapromota uchwala na wapo wengi tu, mtafute John Lissu, Sedekia nk.

Vv
 
Huyu ni Malaya sana nimemkamata mara mbili. Wanajificha kwenye dini. Acheni hizi promo za kijinga.
mimi hayo siyajui,nazungumzia nyimbo zake,mengine ni maisha yake.
 
Kafungue Uzi wako ukielezea haya,mbona binadamu mnavuka mipaka ya haya na aibu???
Hapa ni public wewe. Ungepost kwenye blog yako basi. Humu kubali yote matamu na machungu. Ukweli ndo huo.
 
Hapa ni public wewe. Ungepost kwenye blog yako basi. Humu kubali yote matamu na machungu. Ukweli ndo huo.
Public na ndio kaanzisha post yake inayohusu kumsifia nyimbo zake,kama unamfahamu ni muasherati na una evidence fungua post yake.
I don't have blog any way...
 
Reactions: ABJ
Yaani mTanzania kitu kikimfurahisha yeye basi yeye anahisi hicho kitu kinawafurahisha
Dunia nzima......

Hawajui kuwa kila mtu ana utashi wake.....

Kibaya zaidi wanaotoa kauli kama hizi huwa wana egemea kwenye hisia zao zaidi bila ya kufanya research ya aina yoyote ile....
 
mkuu hapa unataka kusemaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…