rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Abiud ana hatari sanaMsimsahau pia na Mchungaji Abiud Misholi, yaani akiimba nyimbo zake nahisi kubarikiwa na kupata faraja ya ajabu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Abiud ana hatari sanaMsimsahau pia na Mchungaji Abiud Misholi, yaani akiimba nyimbo zake nahisi kubarikiwa na kupata faraja ya ajabu.
Sema tu ni muimbaji injili hapo hapo. Hana tofauti na Tito. Msimpambanue kwa Injili mtu ambae haakisi dini kimatendo.Unamalaya wake hauusiani na uwezo wake wa kuimba
Sio mtu wa kusaka umaarufu kwenye media na mapromota uchwala na wapo wengi tu, mtafute John Lissu, Sedekia nk.Nadhani nimechelewa sana kujua nyimbo za huyu fundi wa nyimbo za injili Ambwene Mwasongwe,jamaa anaimba vitu vinatouch kinyama
Nasikiliza hapa wimbo unaitwa CHOZI LA HAKI.
Huu wimbo ni touching sana
naombeni kwa aliyenazo zingine zote,au hata kama zipo za kulipia nitalipia nimchangie.
mimi hayo siyajui,nazungumzia nyimbo zake,mengine ni maisha yake.Huyu ni Malaya sana nimemkamata mara mbili. Wanajificha kwenye dini. Acheni hizi promo za kijinga.
Kafungue Uzi wako ukielezea haya,mbona binadamu mnavuka mipaka ya haya na aibu???Atakaebisha amlete humu nimpe ushahidi wa Kijitonyama. Ananijua.
Hapa ni public wewe. Ungepost kwenye blog yako basi. Humu kubali yote matamu na machungu. Ukweli ndo huo.Kafungue Uzi wako ukielezea haya,mbona binadamu mnavuka mipaka ya haya na aibu???
Public na ndio kaanzisha post yake inayohusu kumsifia nyimbo zake,kama unamfahamu ni muasherati na una evidence fungua post yake.Hapa ni public wewe. Ungepost kwenye blog yako basi. Humu kubali yote matamu na machungu. Ukweli ndo huo.
amekwishaoa mwaka jana miezi ya kumi hivi.Kwanini haoi na yuko above 40??
Punguza umuch know kijana.Atakaebisha amlete humu nimpe ushahidi wa Kijitonyama. Ananijua.
amekwishaoa mwaka jana miezi ya kumi hivi.
KusagaNani kamzuia asitajwe babu tale au clouds?
mkuu hapa unataka kusemajeYaani mTanzania kitu kikimfurahisha yeye basi yeye anahisi hicho kitu kinawafurahisha
Dunia nzima......
Hawajui kuwa kila mtu ana utashi wake.....
Kibaya zaidi wanaotoa kauli kama hizi huwa wana egemea kwenye hisia zao zaidi bila ya kufanya research ya aina yoyote ile....