Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Laptop yangu ina labels zinazosomeka 'Intel pentium Inside' na nyingine inasomeka 'NVIDIA GEFORCE with CUDA'. Sasa ipi ni ipi?AMD sio mbaya tena ni cheaper lakini Intel utakuwa unalipia na Brand name sababu ni famous........ Hata kama capacity zake zitakuwa sawa lakini intel itakucost more kuhusu Graphics Card kama unataka for Gaming you can not beat Nvidia
Umejitahidi kujibu swali langu lakini mimi ninahisi Intel ni nzuri zaidi kuliko AMD na kuhusu Graphic Card pia ATı ni nzuri zaidi kuliko Nvidia kwa sababu hiyo Nvidia ukitumia Computer ya Desktop kwa mambo ya Games hiyo Nvidia ina Freez Computer kwa kufanya utafiti wangu nimeona hivyo sijuwi wenzangu wengine wanafikiriaje mawazo yangu asanteni...AMD sio mbaya tena ni cheaper lakini Intel utakuwa unalipia na Brand name sababu ni famous........ Hata kama capacity zake zitakuwa sawa lakini intel itakucost more kuhusu Graphics Card kama unataka for Gaming you can not beat Nvidia
AMD wanatumia ATI graphics card. Kwa ujumla ni wazuri zaidi ya intel. ukicheza game ya fifa2011 kwenye AMD utafikiri uko uwanjani. ninalaptop 2 zinazofanana kila kitu ila moja ni AMD na moja ni intel, mtotowangu kilasiku ananinyang'anya AMD ili acheze game intel inamzenguaUmejitahidi kujibu swali langu lakini mimi ninahisi Intel ni nzuri zaidi kuliko AMD na kuhusu Graphic Card pia ATı ni nzuri zaidi kuliko Nvidia kwa sababu hiyo Nvidia ukitumia Computer ya Desktop kwa mambo ya Games hiyo Nvidia ina Freez Computer kwa kufanya utafiti wangu nimeona hivyo sijuwi wenzangu wengine wanafikiriaje mawazo yangu asanteni...
Laptop yangu ina labels zinazosomeka 'Intel pentium Inside' na nyingine inasomeka 'NVIDIA GEFORCE with CUDA'. Sasa ipi ni ipi?
Mzizimkavu hakuna Nzuri wala mbaya katika hizoHaya Watalaam nawasalimia kwanza nataka kuunda Computer yangu nauliza ipo bora kutumia CPU kati ya hizi mbili Model? AMD vs. Intel ? na Motherboard ipi iliyo Kiboko na Grphic Card kati ya hizi mbili ipi nzuri zaidi?
Nvidia VS ATI: Which is Better? Nawaombeni ushauri wenu Asanteni wote
Mzizimkavu hakuna Nzuri wala mbaya katika hizo
Yote inategemea ni aina ya vifaa gani vingine utatumia.
Kama ulivyosema Motherbord ina subsytem nyingi. Kuna aina ya subsytem kwenye maotherboard inafaa Intel na kuna aina ya susbsytem inafaa AMD. CPU ni critical lakini inabidi uweke vitu vingine katika vigezo yako.
Kwa unafuu wa bei zipo CPU za AMD ambazo ni nafuu kuliko INtel
Pamoja na hayo uliyoyasema mimi kwangu nataka ubora wa kitu sio unafuu wa kitu kisha baada ya miezi Sita ninunue kitu kingine si unajuwa Mchina anatengeneza vitu vya feki tena kwa bei Rahisi sana unatumia miezi sita au Mwaka kisha unanunuwa kipya tena. Tabia hiyo huwa sipendi mimi Bora nitoe pesa hata zikiwa nyingi lakini niweze kutumia japo hata miaka 5 bila ya kuwa na wasiwasi kuliko kutumia pesa kidogo kisha baada ya miezi sita au mwaka mmoja ninanunuwa kipya sitaki hivyo.
ni laptop mbili tofauti ila zinafanana tofauti ni moja inatumia intel na na nyingine inatumia AMD. ofcoz mida hii zipo huko kwenye pc room. nitakutumia models zake asubui. mimi nipo chumbani natumia desktop imeandikwa intel pentium inside. ninachoipendea ina touch screen.Kama hiyo Laptoıp yako inaweza kusoma hizo Label mbili yaani 'Intel pentium Inside' na nyingine inasomeka 'NVIDIA GEFORCE with CUDA' tumia hiyo 'Intel pentium achana na 'NVIDIA GEFORCE with CUDA' Lakini unanishangaza Laptop yako ya aina gani Model yake hiyo waweza kutupa Detail za hiyo Laptop yako samahani
Sawa lakini kwa nilivyosoma soma ni kazi sana kutengenasha na kupata ubora wa kwa kuongelea kitu kimoja
Kwa performnce nzuri ya graphics AMD inabidi utumie ATI graphics card
Kwa perfomrmannce nzuri ya graphics kwenye intel inabidi utumie Nividia
Kwanini? Toa Sababu? ( Kwa performnce nzuri ya graphics AMD inabidi utumie ATI graphics card
Kwa perfomrmannce nzuri ya graphics kwenye intel inabidi utumie Nividia)
Any Reason Which?
Sawa lakini kwa nilivyosoma soma ni kazi sana kutengenasha na kupata ubora wa kwa kuongelea kitu kimoja
Kwa performnce nzuri ya graphics AMD inabidi utumie ATI graphics card
Kwa perfomrmannce nzuri ya graphics kwenye intel inabidi utumie Nividia
Kwa hiyo mtu akija kukupa ushauri kuwa INteli CPU ni bomba na ATI ni bomba anaweza kuwa yuko sahihi lakini combination ya ATI na Intel kwenye motherboard moja haiji na total perfomance nzuri.
Ndio maana hakuna jibu sahihi moja kwa moja. Usiende dukani ukanua CPU bora Ukanunua Graphic cad bora, Ukanunua Memory Bora. Unaweza kuwa na vitua bora lakini vikshindwa kufanya kazi kwa pamoja. Inategemeana.
Nimekupata Mkuu Mtazamaji haya tunakwenda kwenye RAM na MOTHERBOARD
Swali langu ni hili
RAM: Which is better? Higher data speed or lower latency?
WHICH IS BETTER MOTHERBOARD BETWEEN BIOSTAR AND ASUS?
Mkuu hapa sijakupata vizuri lkini Higher data transfer or read/write speed ni bora .Na ukiwa una higher data speed means utakuwa na lower latency( Latency ni delay What is latency? - A Word Definition From the Webopedia Computer Dictionary)
Lakini hii pia inategemea size ya trasfer rate au read /write ya vitu kama Register/Bus/Cache
Katika soma soma zangu mtandaoni mara nyngi sana nimekutana na reviews za watumiaji zinasema ASUS kama ndio. Laptop/motherboard bora. Binafsi sijawai kutumia ASUS. Weye yako naona ni BIOSTAR unaweza kunipa experence yako. vp ikoje ?
Unafanya makosa sana kutaka kununua kitu bila kufahamu unataka kufanyia nini.
Kwa mfano wakati nilikuwa na deal na graphics, AMD ilikuwa ikinisaidia sana.
Ila ikija kwenye miziki, ilikuwa ikidoda.
Watu wa IT hasa waandishi wa programs huwa wanapendelea Intel.
Sasa, jibu la kweli ni kuwa zote ni nzuri ila tu inabidi ufahamu unataka kuitumia kwa kufanyia nini.
Kama unataka kusoma Email na kuongea kwenye Skype, kwa nini kununua laptop inchi 18?
Ni sawa na kununua Semi truck halafu uwe unalitumia kwenda kazini ofisini.
Au kununua Nissan Micra halafu uwe unaitumia kwendea shambani.
Tujifunze kubana matumizi hata kwenye vifaa.
Ohhh, Desk Top computer? Tafadhali bana. Muda wake unakwisha ati.
Nenda kachukue Laptopm ila kumbuka RAM ziwe kama 4Gbt.
Computer za ALL-In-One na touch screen, sijui kama ni uchaguzi mzuri.
CPU zake nyingi ni ATOMs. Ni kama TV iliyowekewa ki-computer.
Laptop yangu ina labels zinazosomeka 'Intel pentium Inside' na nyingine inasomeka 'NVIDIA GEFORCE with CUDA'. Sasa ipi ni ipi?