huyo hana lolote,kaona sikukuu inakaribia tu
kwani mkuu huna habari kuwa X-mass ni december 25?
Mwache dada wawatu aendelee kumtafakari jamaa. Wanaume wenyewe sikuhizi mmekua changamoto
Teh anaendelea kutafakari vizuri namna ya kutumbua pesa za jamaa....
Ha ha... Amna bana!
Ila huyo mrembo genius kweli, hiyo tarehe akimwambia jamaa amtoe za sikuku ili apate jibu zuri.
Wanawake mna akil saana
we hujui kuwa sherehe za x-mass na mwaka mpya zimefutwa na mzee?
na badara yake tar 25 ni siku ya usafi maeneo ya vyooni!
hahahaa!Mwache dada wawatu aendelee kumtafakari jamaa. Wanaume wenyewe sikuhizi mmekua changamoto
hahahaa!
duh..!kumbe siku hizi tumekua changamoto tena?
by the way,Magu katumia mwezi mmoja kutangaza baraza la mawaziri,sasa huyo mwenzenu miezi mitano yote anafanya nini?
Kwanza miezi5 naona michache sana.... Nyie dkk2 wazuri dkk3 wabaya. Hata asifanye haraka dada wawatu
Mwache dada wawatu aendelee kumtafakari jamaa. Wanaume wenyewe sikuhizi mmekua changamoto