Ameahidi kumpa jibu tar 24 mwezi huu

Ameahidi kumpa jibu tar 24 mwezi huu

mombaboy

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2015
Posts
272
Reaction score
23
Wakuu,

Kuna jamaa angu alimtokea dada mmoja kitaani kwetu toka mwezi wa saba. Kamfatilia wee eti leo ndio kamwambia atampa jibu tar 24 mwezi huu.

Je ni haki kweli kumtesa mwenzio miezi yote hiyo? Nawauliza nyie kina dada, kuweni na huruma jamani Ebro.!
 
Illovo mwingine huyu yupo njiani kutapeliwaa
 
Last edited by a moderator:
Na huyo jamaa bado tu anasubiria
 
Mwache dada wawatu aendelee kumtafakari jamaa. Wanaume wenyewe sikuhizi mmekua changamoto
hahahaa!

duh..!kumbe siku hizi tumekua changamoto tena?

by the way,Magu katumia mwezi mmoja kutangaza baraza la mawaziri,sasa huyo mwenzenu miezi mitano yote anafanya nini?
 
hahahaa!

duh..!kumbe siku hizi tumekua changamoto tena?

by the way,Magu katumia mwezi mmoja kutangaza baraza la mawaziri,sasa huyo mwenzenu miezi mitano yote anafanya nini?

Kwanza miezi5 naona michache sana.... Nyie dkk2 wazuri dkk3 wabaya. Hata asifanye haraka dada wawatu
 
Hivi tutaoa wanawake wa namna gani na kutoka sayari ipi?
 
Akipewa hilo jibu hiyo tarehe24...achune mpaka tarehe 10 january nae ndiyo aseme... dah nashukuru kwa jibu lako nimefurahi sana kwa kunikubalia ombi langu. Tukutane lodge fulani hivi.
 
ahahahaha..,,.sina iman na tar 24,,.nna mashaka na hiyo tarehe....me ningemwambia anijibu tar 2
 
Back
Top Bottom