Ameahidi kumpa jibu tar 24 mwezi huu

Na yeye ampangie tarehe na mwezi wa kupokea jibu kwani tatizo gani
 
Hivi kuna watu bado wanasubirishwa kiasi hiko!!!

Kwa nn usingemshauri jamaa ako asome hata full secretarial course angekuwa ka-graduate.
 
Jamani mbona huyo kapewa mda mchache, nenda kafatilie msichana wa kipemba miaka 2 hujapata jibu la kuridhisha.
 
Jamani mbona huyo kapewa mda mchache, nenda kafatilie msichana wa kipemba miaka 2 hujapata jibu la kuridhisha.

Duuuuuuuuu!
kwa shape zipi walizo nazo Mkuu?hizo za kuficha makomwe kwenye ushungi?
two years?

hata watoto wetu wa IV hawasubiri majibu mda wote huo...!
 
Watoto bwana,...kwani lazima mtamkiwe kwa mdomo eti ..."NDIYO NAKUBALI KUWA GF WAKO"???

Kama kusoma hamjui, hata kuangalia picha jamani? .... Toka July hadi December, kwani kalima shamba la mahindi na sasa anasubiri yakomae?

Ndiyo maana mnalizwa na kutujazia mada za kitoto jamvini....

Wananichosha sana hawa wajukuu!!
 
ahahahaha..,,.sina iman na tar 24,,.nna mashaka na hiyo tarehe....me ningemwambia anijibu tar 2

jambo lolote linalompata mtu tar 24, 25 (dec) na mkesha wa kufunga & tar 1 mwaka mpya huwa halisahauliki kirahisi!!

hope for the best and prepare for the worst.
 

Mwambie jamaa a-load hela ili demu awe na uhakika wa kula na kupendeza sikukuu, ili hata jamaa aki hit and run, demu awe amemfaidi.
 
Ukweli ni kuwa huyo dada hajampenda huyo kaka hivyo ameona ajipe Muda aone kama kuna kitakacho mvutia...
KUMBUKA: kupewa jibu tar 24Dec haimaanishi lazima apewe jibu la ndio...ajiandae pia kupewa jibu tofauti ..hasa kama hajapeleka ZAWADI ya Kirisimas ikapokelewa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…